Edson Mabele wa kipindi cha Wallpaper - Star Tv

Edson Mabele wa kipindi cha Wallpaper - Star Tv

Kwa wale mnaofatilia show ya wallpaper startv mtakua mnamfaham huyu jamaa..mie binafsi sijamkubali huyu mshkaji naona hana swagga na maujanja ya kuwepo pale...pia hata mwonekano wa kistaa hana kabisa bora akatangaze kipindi cha michezo tu...ni maoni yangu wakuu

Katangaze wewe tukuone basi.
 
Huyu jamaa ni zaidi ya futuhi Teh Teh....
 
Una Cv gani kidampa wewe unaandika ushuzi..tasnia ya habari na mawasiliano ni adhim, kwasasa Azam Tv haina mpinzani, hizo takataka zenu bakini nazo, umejiita una Cv ya media, kwanini Channel Ten haikui miaka yote wakati Azam ina mwaka tu na tuzo lukuki? Ukijibu hili nakutumia tgo pesa!

Mkuuu hizoo tuzo za azam tv alizopataa ni zipi..??? Au ni zakihindii maana hamjamboo kwakuonyesha ma vipindi ya njee..???
Tuelimishane vizurii hapaa
 
Hivi walikosa mtu wakampa yule atangaze yaani ni kituko.
 
Marahaba! Unajua Star TV tanzania wako nyuma sana kuanzia mpangilio wa vipindi hadi aina ya watangazaji wanao hitajika kwenye vipindi vya burudani.

Mimi Huyo jamaa sijawai kumuona wala kuona hicho kipindi Lakini sina doubt na yanayo semwa maana Star tv wanajulikana wako nyuma sana.

Tatizo wamejaza wazee kila kipindi wakati kuna vipindi vingine vina hitaji vijana wabichi.

Kuna tangazo lao mmoja ni la mashindano ya kudance sasa linatangazwa kama Habari za kitaifa vile kumbe burudani na lina tangazwa na watu walio zoea kutangaza habari za kisiasa halafu wazee daaa huwa nikiliona nacheka sana daaaaa .......

Star tv wana tatizo kwenye aina ya watu wa kuajiri, Wao wana fikiri kila mtangazaji ana faa kwenye kila idara na cha kushangaza muda wote huo hawajifunzI kwa wenzao EATV.

Ukiangalia habar ya usiku saa 2...chumba cha habar kinawaka balbu aseee
 
Last edited by a moderator:
Mkuuu hizoo tuzo za azam tv alizopataa ni zipi..??? Au ni zakihindii maana hamjamboo kwakuonyesha ma vipindi ya njee..???
Tuelimishane vizurii hapaa

Azam tv chanel nying ni za india ama masharik ya kat....yani kila baada ya lisaa limoja unaskia azana utafikir upo mskitin..hao wanaotoa tuzo watakua makanjibaa labda
 
Huyu mtuu hafai kwenye tv kiukweli.kwa sisi wenye cv za media huyu hatoshi my be awe producer and sio presenter wa kipindi maana sifa za kila kipindi kuna hitaji nature ya watu flani.mfano umchukue bidazani atangaze michezo so my be huyu jamaa achagua kitu kisicho switch na attitude yake.
But media tanzania inachalange kubwa kwenye.tv

duh... kweli una cv ya media
 
Una Cv gani kidampa wewe unaandika ushuzi..tasnia ya habari na mawasiliano ni adhim, kwasasa Azam Tv haina mpinzani, hizo takataka zenu bakini nazo, umejiita una Cv ya media, kwanini Channel Ten haikui miaka yote wakati Azam ina mwaka tu na tuzo lukuki? Ukijibu hili nakutumia tgo pesa!

AZAM TV haijawai kupata tunzo labda unachanganya Azam group of company ndio mwaka jana ilipata tunzo ya utoaji wa bidhaa bora...lakini kwa TV ilikwenda kwa ITV na ya Radio ilikwenda kwa Clouds TV...
 
Duh! Watu mna moyo... manake ningewekewa dau la 100 billion nitaje jina la jamaa yaani huo mkwanja ningeukosa hivi hivi!!
 
isingekuwa idhaa ya kiswahili ya BBC sijui star tv kama ningekuwa naikumbuka bado.
 
Back
Top Bottom