Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Hapana Retired; usimuone hivi Lowassa na nadhani si haki kumuona hivyo. Wale wote waliomuunga mkono na kumtumia alipokuja inapaswa kumshukuru tu na kumtakia kila la kheri. Haya mengine si ya lazima. Sidhani kama kurudi kwake ni jambo la kushangaza au kushtua vile. Kwamba alibakia kwa miaka mitatu lazima mumpe hongera na shukrani zake.
 

Nyumbu 😆😆😆😆😅
 

You have to accept the fact that this time you were really caught up by surprise, big time.

This is the real show how these mind games are played.
 
Hujui shost kuwa Lowasa ni mwana CCM kuanzia March 1, 2019
Yaani jana? Mhu mimi naona bora liende. Pole yao watoto wanaokua na watakaozaliwa. Kuna nchi zinasemwa vibaya kisiasa ila kimaendeleo Bongo haioni ndani. Uchumi wao ni wa kiwango cha juu, huku maji bure, umeme unawasha AC mwisho wa mwezi ukilipa nyingi dollar 40, elimu bure na darasani watoto hawazidi 45. Ni nchi inasemekana haina demokrasia ila ni nchi ambayo ukiishi utafikiri upo jimbo mojawapo USA hata viunga vya NY. Huku watu ni wastaarabu ila siasa hawataki kusikia.
 
Viongozi na wafuasi wa Chadema hujiadai wanajitambua na wenye uelewa sana kumbe kinyume chake

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa karudi yule Mnayemuita Fisadi. Imekaaje hapo? Mliyesema hadharani kwenye Kampeni hafai kwenda jumba jeupe alijinyea Geita ni mgonjwa! Pale so wodi ya Wagonjwa kaja. Tusiokuwa na vyama tulikaa mbali tukisikiliza Kashfa kwa EL. Sasa Fisadi anapokelewa na wote. Mbona haambiwi no baki huko huko?
 
Zaidi ya nusu ya viti vya cdm bungeni 2020 havitakuwepo . Anayebisha twende MKEKA BETTING. Najua mijawpo ya agenda cdm 2020 ni Koroshow ,Dollar Ajira na hali ya maisha.
Usanii wa kuyajibu maji yanachemka

Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama wana hamu tena ya kuomba kura. Hakika cha Moto wamekipata enzi hii. Mimi naona ni kupoteza fedha. Uchaguzi uwe tu kupita bila kupingwa, because upinzani hawatashinda Popote!
 
1) Wakati Lowasa yupo CCM:
• Chadema walimwita Kubwa la Mafisadi
• CCM wakamwita Msafi


2) Wakati Lowasa anagombea Uraisi Chadema:
• CCM walimwita Kubwa la Mafisadi
• Chadema walimwita Msafi


3) Wakati Lowasa amerudi CCM
• Chadema wanamwita Msafi
• CCM watamwita ????


Hapo ni jibu tosha Kuwa Chadema either ni Mbumbumbu wanafuata upepo tu au Wanajua wanachokifanya Bali ni Wanafiki tu.

Lakini Leo hawajioni kuwa Hata wao Walimsafisha Lowasa na kusema si Fisadi na kutaka kumpa Uraisi..

Lakini Leo Wanaanza kumeza maneno yao.

Vyama vyote vya siasa hapa Nchini ni Wanafiki Watupu na Ndiyomana hata CCM watamsafisha Lowasa waliyemwita Fisadi.
 
Hesabu na "timing" ya nhe Lowasa ni zero na inampa taswira halisi.
Lowasa alihamia CHADEMA waliokuwa wamemwandama kwa kumtuhumu kwa ufisadi baada ya Mbowe "kubadili gia angani" ili kupata fursa ya kugombea nafasi ya uras kwa tiketi ya chama hicho. Akashindwa katika Uchaguzi Mkuu. Kumbe kama ilivyokuwa kwa Augustine Mrema, alistahili kushindwa. Naye asingetosha kuongoza nchi. Angewezaje kama hana anayoyaamiji wala msimamo?
Pamoja na nia yake ya kuhami mali zake dhidi ya pokonya pokonya ya mamlaka husika inayoendelea, heshima yake na jeuri ya kikwao viko wapi? Jambo la uhakika ni kuwa amejiabisha, amejimaliza, na hatathaninika na Watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…