Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Wote tunajua kuwa timu membe unanguvu sana sasahivi pale ccm kinachofanyika nikujitahidi kuisambaratisha na kuipa nguvu timu fulani
 
Rostam katoa Chanel ten, na Lowasa juu kama sharti..(wote mnajua)

Dumelang
 
Lowassa alikuwa waziri mkuu ,mgombea urais,mjumbe was heshima wa kamati kuu ya CDM,hivyo kupokelewa kwa namna ile alistahili,tena sana,ni sawa tu alivyopokelewa wakati anajiunga na CDM.

Ila ni pigo kwa pande zote mbili,CCM na CDM
 
Makamanda kama wanaona noma kumkandia mwenyekiti kwamba ndiye aliwaingiza cha kike na mshenga Gwajima.Slaa aliambiwa time and tides wait for nobody na muda umeongea makopo yote yamerudi yali
kok
 
Mimi namuonea huruma sana slaa
maana alisema HAWEZI kukaa chama kimoja na Lowassa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninachokuuliza wewe kada wa Lumumba, je ufisadi wake umetoweka ghafla, hadi siku ya kurejea kwake CCM apokelewe na viongozi wakubwa kabisa ndani ya nchi, Rais Magufuli na Waziri Mkuu wake Kassim Majaliwa??
Huu ni msimamo wangu tangu awali.
Ufisadi wake haukuwahi kwisha tangu tulipojulishwa pale mwembe yangu na tulidhihirisha kwamba ni fisadi baada ya kumkata na mpaka hivi ninavyoandika bado ni fisadi papa,ametumia haki yake ya kikatiba na demokrasia hakuwahi kumtukana mtu yupo huru hata akitaka kurudi huko chadema ila ufisadi wake haufutiki siwezi kusema kama nyinyi nendeni mahakamani
 
Hivi ni kwa vipi yule aliyeitwa fisadi no 1 nchini siku ya kurejea kwake CCM apokelewe kwa nderemo kubwa na Mheshimiwa Rais na Waziri Mkuu wake??
Siku nyingine ni bora ukajipange kabla ya kuleta uzi!
 
Ninachokuuliza wewe kada wa Lumumba, je ufisadi wake umetoweka ghafla, hadi siku ya kurejea kwake CCM apokelewe na viongozi wakubwa kabisa ndani ya nchi, Rais Magufuli na Waziri Mkuu wake Kassim Majaliwa??
Una akili ya kitoto! Kwani hakwenda ikulu wakati yupo Chadema?
 
Dr. Slaa sasa upo tayari kufanya kazi na choo, wakati ule uliikimbia ukasema ilikiwa sebureni lakini harufu ikakutoa nduki, sasa imerejea chumbani kabisa...tunasubiri ufafanuzi wako
Hahah
 
Dr. Slaa sasa upo tayari kufanya kazi na choo, wakati ule uliikimbia ukasema ilikiwa sebureni lakini harufu ikakutoa nduki, sasa imerejea chumbani kabisa...tunasubiri ufafanuzi wako
Kwa sasa ye si yupo nje ya hio nyumba kwahio harufu haimfikii kabisa. Wacha aendelee kula ubalozi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…