Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Wote tunajua kuwa timu membe unanguvu sana sasahivi pale ccm kinachofanyika nikujitahidi kuisambaratisha na kuipa nguvu timu fulani
 
Rostam katoa Chanel ten, na Lowasa juu kama sharti..(wote mnajua)

Dumelang
Wee Liccm pambana na hali yako. Jiwe amejinyenyekeza mbele ya mkubwa itakuwa wewe sisimizi! CCM ya madon imerudi. Pia ambia kina Polepole waufyate sasa.[/QUOTE


Hii inanifanya nijiulize kati ya JPM na Lowassa nani anajua majungu ndani ya chama kuliko mwenzake? naishia kuona kundi moja likiangukia kwenye "Lose - Lose situation" wakati likifikiri kuwa lipo kwenye Win Win situation...indicators zitaonekana mapema kabla ya chaguzi za mitaa kuanza
 
Lowassa alikuwa waziri mkuu ,mgombea urais,mjumbe was heshima wa kamati kuu ya CDM,hivyo kupokelewa kwa namna ile alistahili,tena sana,ni sawa tu alivyopokelewa wakati anajiunga na CDM.

Ila ni pigo kwa pande zote mbili,CCM na CDM
 
Makamanda kama wanaona noma kumkandia mwenyekiti kwamba ndiye aliwaingiza cha kike na mshenga Gwajima.Slaa aliambiwa time and tides wait for nobody na muda umeongea makopo yote yamerudi yali
kok
 
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Magufuli na Polepole.

Hawa watu wawili walitushambulia sana eti mafisadi yamewakimbia na yamehamia Chadema. Sisi kweli kama Chadema tulibanwa sana kuhusu Lowassa ila tulijikongoja tuu. Kiuhalisia mwaka 2015 tulipoteza uhalisia wetu kichama ingawa Lowassa kweli alikuwa mtu wa watu. Tulilazimika kuwafanya wengine kukaa kimya maana kama chama tuliua agenda zetu kuu. Hatimaye sasa tutapumua.

Nimeshangazwa sana na mapokezi ya kifalme aliyopewa Lowassa huku serikali kuu zaidi ya nusu wakihamia Lumumba kwenda kumpokea mkubwa yule. Ni kwa mara ya kwanza kuona mtu akipokewa na viongozi wote wakuu wa chama na serikali. Mtu ambaye watu hao hao walidai kawakimbia! Leo wao ndiyo waliomkimbilia! Mbaya zaidi Magufuli anampokea Lowassa huku akiwa kasimamiwa na zee la mipango aka Rostam Aziz. Dah kweli dunia ina mambo.

Lowassa najua amerudi CCM ili kulinda fursa zake kibiashara pamoja na hatima yake ya uzeeni. Ni hayo tu.

Nasubiri kuona sasa mapovu ya kina Polepole na Bashiru baada ya madon kujihakikishia kuwa sasa wamemzunguka mkubwa wao. Acha kabisa siasa hizi za kibongo. Pia nasubiri neno la Slaa (Najua hatosema chochote maana anatumikia)
Mimi namuonea huruma sana slaa
maana alisema HAWEZI kukaa chama kimoja na Lowassa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninachokuuliza wewe kada wa Lumumba, je ufisadi wake umetoweka ghafla, hadi siku ya kurejea kwake CCM apokelewe na viongozi wakubwa kabisa ndani ya nchi, Rais Magufuli na Waziri Mkuu wake Kassim Majaliwa??
Huu ni msimamo wangu tangu awali.
Ufisadi wake haukuwahi kwisha tangu tulipojulishwa pale mwembe yangu na tulidhihirisha kwamba ni fisadi baada ya kumkata na mpaka hivi ninavyoandika bado ni fisadi papa,ametumia haki yake ya kikatiba na demokrasia hakuwahi kumtukana mtu yupo huru hata akitaka kurudi huko chadema ila ufisadi wake haufutiki siwezi kusema kama nyinyi nendeni mahakamani
 
Hivi ni kwa vipi yule aliyeitwa fisadi no 1 nchini siku ya kurejea kwake CCM apokelewe kwa nderemo kubwa na Mheshimiwa Rais na Waziri Mkuu wake??
Siku nyingine ni bora ukajipange kabla ya kuleta uzi!
 
Ninachokuuliza wewe kada wa Lumumba, je ufisadi wake umetoweka ghafla, hadi siku ya kurejea kwake CCM apokelewe na viongozi wakubwa kabisa ndani ya nchi, Rais Magufuli na Waziri Mkuu wake Kassim Majaliwa??
Una akili ya kitoto! Kwani hakwenda ikulu wakati yupo Chadema?
 
Dr. Slaa sasa upo tayari kufanya kazi na choo, wakati ule uliikimbia ukasema ilikiwa sebureni lakini harufu ikakutoa nduki, sasa imerejea chumbani kabisa...tunasubiri ufafanuzi wako
Hahah
 
Dr. Slaa sasa upo tayari kufanya kazi na choo, wakati ule uliikimbia ukasema ilikiwa sebureni lakini harufu ikakutoa nduki, sasa imerejea chumbani kabisa...tunasubiri ufafanuzi wako
Kwa sasa ye si yupo nje ya hio nyumba kwahio harufu haimfikii kabisa. Wacha aendelee kula ubalozi!
 
Back
Top Bottom