johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mkuu Ruge ni nani katika Taifa hili kiasi Rais kutakiwa kuwajibika kwa mfumo unaoutaka wewe?Ruge ni nani huko chadema kiasi Rais kutohudhuria msiba wake ni kuwaumiza wapinzani?Ulitaka shughul zote zisimame kisa Ruge?Kuna mamilioni ya watanzania hawamjui huyo Ruge na hata wanaomjua wanamjua sio kwa kiasi ambacho unataka wewe Rais afanye.Wewe unaishi Tanzania na Dunia ya wapi....???
Rugemalira Mutahaba(Boss Ruge)-Mkurugenzi na mzalishaji wa Vipindi vya CLOUDS MEDIA GROUP(CMG).
Dr Slaa was right. Lowasa was a liability in Chadema. Sasa kwa kuwa rais JPM ametekeleza Sera zote za cdm itabidi Balozi Dr Slaa na Lowasa wawe marafiki tu kwani hakuna namna.HANA IMPACT ARUDI TU HANA ISSUE
Mbona kila anayeandika humu anaona negative impact kwa ccm tu,vipi negative impact kwa CDM mbona haziandikwi au kusemwaswmwa sana
Zwazwa mwenyewe na mpumbavu usiyejielewa ww .
Mbowe aliwaingiza chaka lakini lipumba na slaa walikataa
Hii dunia haiko fair kwani wenye akili wanauawa matope yanabakiKama alikuwa wa kwanza unajifunza nini?
Hata MCHAWI akishamroga mtu na akafa basi MCHAWI huwa wa KWANZA KUFIKA MUSIBA NA KULIA SANA KUPOTEZA NIA OVU iliyo moyoni mwake...!!
Na mimi pia, ni msiba kama misiba mingine tu iliyotokea juzi na jana na leo.Halafu pia mkuu,Ruge anaweza kuwa muhimu kwa watu fulani lakini asiwe muhimu pia kwa huyu na yule..unaposema ni msiba mzito basi jua kuna watu pia kwao sio msiba mzito nikiwemo na mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
amebakiza mika mingapi ya kuishi? Siasa zenyewe atazifanya saa ngapi? Amani iko wapi? ya kuwapiga watu risasi 38, coco beach, MKIRU? Jinga tu halioni kuwa sasa ni saa 12 jioni!Hii kauli ya Lowassa imenitafakarisha kidogo.
Ina maana pale Chadema hakuna siasa za amani?.........au yale ya Kubenea na Komu kutaka kumteka meya wa ubungo?
Au ni siasa gani hizo za vurugu alizozikimbia Lowassa pale Ufipa!!!
Maendeleo hayana vyama!