Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Hii kauli ya Lowassa imenitafakarisha kidogo.

Ina maana pale Chadema hakuna siasa za amani?.........au yale ya Kubenea na Komu kutaka kumteka meya wa ubungo?

Au ni siasa gani hizo za vurugu alizozikimbia Lowassa pale Ufipa!!!

Maendeleo hayana vyama!
 
Wewe unaishi Tanzania na Dunia ya wapi....???
Rugemalira Mutahaba(Boss Ruge)-Mkurugenzi na mzalishaji wa Vipindi vya CLOUDS MEDIA GROUP(CMG).
Mkuu Ruge ni nani katika Taifa hili kiasi Rais kutakiwa kuwajibika kwa mfumo unaoutaka wewe?Ruge ni nani huko chadema kiasi Rais kutohudhuria msiba wake ni kuwaumiza wapinzani?Ulitaka shughul zote zisimame kisa Ruge?Kuna mamilioni ya watanzania hawamjui huyo Ruge na hata wanaomjua wanamjua sio kwa kiasi ambacho unataka wewe Rais afanye.

Licha ya hivyo Rais katoa ndege, juzi viongoz wengi sana as serikali walikuwepo pale hadi msemaji wa serikali alikuwepo. Mambo yote aliyofanya we huyaoni kabisa?Tupunguze Majungu.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Anataka kuzikwa kiheshima, pili aliloliendea(Urais) halijafanaikiwa na halikuwa na dalili
 
Sasa zwazwa weye unalikubali chaka lirudi tena ccm! Mpuuzi mkubwa wewe sasa iweje chaka likubaliwe tena ndani ya ccm? Na kwa taarifa yako Slaa naye aliingizwa chaka taahira wewe kama hujui mambo usikurupuke pimbi were uliza kwanza.



Zwazwa mwenyewe na mpumbavu usiyejielewa ww .
Mbowe aliwaingiza chaka lakini lipumba na slaa walikataa
 
Lowassa Amerudi Ccm kulinda Mali zake na ni haki yake Kikatiba .
Sisi tunasonga mbele .

Awe Lissu sawa
Awe Zitto sawa
Awe Mnyika sawa

Upinzani upo damuni Tukutane 2020
 
'I will give him an offer he cannot refuse.'
Soon part of the price will surface.
 
Lowassa anawakilisha tabia za watanzania wengi sana ndio maana ccm inatawala kwa miaka 60 sasa.
 
Hii kauli ya Lowassa imenitafakarisha kidogo.

Ina maana pale Chadema hakuna siasa za amani?.........au yale ya Kubenea na Komu kutaka kumteka meya wa ubungo?

Au ni siasa gani hizo za vurugu alizozikimbia Lowassa pale Ufipa!!!

Maendeleo hayana vyama!
amebakiza mika mingapi ya kuishi? Siasa zenyewe atazifanya saa ngapi? Amani iko wapi? ya kuwapiga watu risasi 38, coco beach, MKIRU? Jinga tu halioni kuwa sasa ni saa 12 jioni!
 
Back
Top Bottom