Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Tunajua mali za Rostam ni za Lowassa hivyo wanarudi ccm kuitafuna tena.
Na majuzi Rostam amewapa channel 10 safari ya ikulu imezaa haya
Kweli Rostam ni mbunifu. Amestaafu siasa. Ameuza hisa zake Vodacom kwani Sasa inalipa kodi na faida imekuwa ndogo na sasa amewapa ccm channel 10 kwani ilikuwa ni hasara tupu. Amemwombea rafiki Lowasa apokelewe ccm ili asifilisike kabisa baada ya kunyang'anywa mashamba. Sasa wote wamestaafu vizuri. Ufisadi kwisha.!!!
 
watu wa ajabu sana,kwahiyo unataka kila mtu amlilie huyo uliyemtaja.When u die the game is over hata tungeimba nyimbo za kila aina haisaidii
 
Hahahahaha unafiki nao ni kipaji.


 
Tukutane congress huko Marekani April
Hizo press zilizopita nini matokeo yake?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Ikiwa Tindu kaubaini ukweli alipo sipo na akajiruzisha moja kwa moja nina uwakika mahala salama kwake ni CCM tuu.
Wazee wa mihemuko sijui mjiandae kwa hilo..
 
Lowassa yupi? Huyu aliyeitwa malaya na pole pole? Acha upuuzi!


Kwa kweli Lowassa amejijengea heshima kubwa dunia kote kukataa kuwa kibaraka WA mabeberu na kuangalia maslahi mapana ya nchi yake .Mbona Laira na Kenyatta walimaliza tofaut zao Mara baada ya uchaguzi kuisha ,kwanini isiwe Magufuli na Lowassa?
 
Kwa kweli Lowassa amejijengea heshima kubwa dunia kote kukataa kuwa kibaraka WA mabeberu na kuangalia maslahi mapana ya nchi yake .Mbona Laira na Kenyatta walimaliza tofaut zao Mara baada ya uchaguzi kuisha ,kwanini isiwe Magufuli na Lowassa?
hujasoma historia ? kasome maana ya beberu kisha uje utwambie kama ccm kama tasisi co ya kibwenyewe? kwani rostam azizi/ mshenga sio beberu?
mapunguani bhanq
 
W

We ndiyo umepanic.
 
CCM wamempokea malaya wa kisiasa asiye muadilifu. Hivi ndani ya ccm ya majizi na mafisadi nani ni mwadilifu?


 

Mnafiki mwingine huyu.

Endelea kutafakari huku ukikijaza kibubu kwa ajili yako na familia yako. Ishi maisha yako, ukiwatafakari sana wanasiasa utapasuka kichwa bure. Siasa ni ngumu kuliko physics.

Mwanasiasa mzuri zaidi ni yule mnafiki mzuri zaidi asiye na aibu
 
Sijui kama mtoa post ana akili..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema tumefarijika sana kwa huyu mzee kurudi kwao. Alikuwa antukwaza sana.
Kuondoka huyu jamaa CDM, ni neema kwao..Lowassa tamaa ya kuwa Raisi ndio iliyomuondoa Chadema, anajua fika Lissu ndio habari ya Mjini, anajua kuwa hana uwezo wa kumkabili Lissu katika kinyang'anyiro cha kupepea bendera ya Uraisi kupitia Chadema
 
"Lowasa amerud nyumban na km kuna wengne wako huko waambie waje tutawapokea, waje tujenge nchi maana maendeleo hayana chama" nikiisoma vzr hii nukuu naelewa kwamba maendeleo hayana upinzani ila co kwamba hayana chama. Km hayana chama kwanni usiwaache hukohuko waliko huki mkiendelea kujenga nchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…