Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Umeandika vizuri,hongera.umemuita Mzee,hiyo ni heshima kubwa saana.niwaombe wengine wasimtolee maneno ya kebehi,matusi na kashfa.
Tumuheshimu
Mkuu sisi Chadema tumeshamalizana na mzee Lowasa, amerudi kwao na sisi tumefarijika kuondoka kwake,hayo mengine mtajuana wenyewe hapo Lumumba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii kurudi CCM na Rostam kuwa karibu na chama tena nikumdhibiti Joka la Mdimu 2020!
 
Siasa ni ngumu kuliko physics... confirmed!

Na ili uujue ugumu wake ulivyo mkubwa, kesi ya kina Sioi, Shose na Kitilya inaenda kufutwa muda si mrefu.

Wanasiasa wakienda mbinguni motoni hakutakuwa na mtu.
Hao Wiki hii haitoisha kina Sioi n'a Shoshe watakuwa huru, lol
 
Siasa bana. So, Lowassa anaweza kuomba kugombea tena urais 2025 na kwa akili za CCM, wanaweza kumpitisha na akashinda. Au anaweza kugombea ubunge 2020 na akapewa uwaziri mkuu tena ili "kuwakomoa na kuwazodoa" wapinzani

Siasa ni sayansi kweli ndio maana kuna watu wanasomea "political engineering"
 
Kazi ya Kwanza ya Rostam ulikuwa kumrudsha Ngoyai Na ameikamilisha kwa a haraka Sana Kuliko ilivyotarajiwa

Kazi ya pili kutafuta 'mawakala wa Tigo pesa' Kwenye Vyama vya Upinzani Na Ni rahisi Sana kwake Kuliko ya kumrudisha ngoyai
Kazi ya tatu Ni kurudisha Na Kuwa Middleman kati ya Wafanyabiashara Na SerIkal


Ila tukumbuke Rostam Ni Muajemi ukizubaa unaokota Mpira Nyavuni
[emoji2] [emoji2] sentence yako ya mwisho nimecheka sana mkuu, yule anaependa kusifiwa sifiwa ovyo akizubaa tu anaokota mpira nyavuni kija kuahamaki goooool

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema ni mabingwa wa propaganda wakati Zito anautaka uwenyekiti wakatengeneza bonge la propaganda ni Yuda ni Ccm B anatumika wakatumia nguvu kubwa sana kuaminisha umma ya kwamba ZITO ni Yuda
Leo tunaona ZITO huyo huyo anataka ACT haiuze kwa Maalim seif ili yeye arudi pale chadema kama katibu mkuu wa chama
Na chadema hao hao wameshasahau kama ZITO ni yuda

Sasa chadema wamebaki na propaganda ya kumuhita lipumba ni Ccm baada ya kushindwa kuiua cuf upande wa bara makubaliano yao na Maalim seif chadema ifanye siasa Tanzania bara na cuf Maalim seif ifanye siasa Zanzibar

Dill limekwama baada ya lipumba kustukia mchezo wao sasa wamemgeuza lipumba ni adui na kusambaza propaganda kibao kwa wapiga dhumari ya kwamba lipumba ni Ccm
na
Mwisho wa siku ili nalo wanakwenda kuferi hakuna mtu yeyote wa kumtoa lipumba pale cuf

2020 ndio hiyo inakuja lipumba hana cha kupoteza ila yule babu ndio atakaye poteza yeye anautaka urais wa Zanzibar na kesi kibao zimefunguliwa mahakamani ....


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji28][emoji28][emoji28]
-%20KumbukiziMtifuo.jpeg
 
CCM wamempokea malaya wa kisiasa asiye muadilifu. Hivi ndani ya ccm ya majizi na mafisadi nani ni mwadilifu?



SWALI: Kwanini 2015 mulitaka kutuekea Raisi MALAYA ASIYE MUADILIFU?
 
Kazi ya Kwanza ya Rostam ulikuwa kumrudsha Ngoyai Na ameikamilisha kwa a haraka Sana Kuliko ilivyotarajiwa

Kazi ya pili kutafuta 'mawakala wa Tigo pesa' Kwenye Vyama vya Upinzani Na Ni rahisi Sana kwake Kuliko ya kumrudisha ngoyai
Kazi ya tatu Ni kurudisha Na Kuwa Middleman kati ya Wafanyabiashara Na SerIkal


Ila tukumbuke Rostam Ni Muajemi ukizubaa unaokota Mpira Nyavuni
Namba 2 na 3

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wana ccm tuwe makini na huyu mtu , tunaweza furahi kumpokea lakini kilichoko kichwani mwake ni siri nzito.

Watu kama hawa sio wa kuchekea chekea hata kidogo ndani ya chama, yawezekana ni mkakati wa siri wa ndugu yetu membe na kundi lake pamoja na lowassa.

Time will tell, nimekaa siti ya mbele huku

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama kuna Chama ambacho kipo makini na kina Vyombo vyake makini vya kufanya ' Tathmini ' na huwa ' hakikurupuki ' katika mambo ( maamuzi ) yake basi ni CCM. Nakuhakikishia huyo unayemuogopa au unayemtaka Bernard Membe hawezi kuwa ' CCM Flag Bearer ' hata Siku moja hata iweje na kama amekutuma upime ' upepo ' au umpigie ' chapuo ' mwambie kuwa asahau na awaze tu kufanya Kazi zingine. Na sijui ni kwanini baadhi yenu mnapenda sana kupoteza muda Wenu ' Kumjadili ' Membe wakati Mimi binafsi sioni ana ' threat ' gani ndani ya Chama changu imara na ' tukuka ' kabisa cha CCM.
 
Yaonyesha Lowassa alikuwa chadema ila anajua ratiba zote za ccm. Jana kawalia taiming wapo kwenye kikao cha chama akaibuka. Ikabidi wahairishe kikao na shughuli iwe kumpokea yeye. Sio kwamba Magufuli alienda kumpokea, alikuwapo hapo kwa shughuli za chama.

Mkuu lile tukio halikutokea Kwa Bahati Mbaya Bali lilipangwa from the Beginning
 
Halafu naona kama hawajafanya timing vizuri vile labda ingekuwa 2020!

2020 hawa wote kiboko yao lissu , kwanza hayupo anayemfikia kwa kujenga hoja!
Kitakachobaki kwa upinzani ni kuhimiza vjana Wengi waone umuhimu wa kupiga kura tu!
Lissu akigombea 2020 itakuwa ndiyo mwisho wake kisiasa. Baada ya uchaguzi hatakuwa na cheo chochote cha kumfanya apatate jukwaa la kusemea. Bora apambanie kurudi bungeni, vinginevyo, atabaki kuwa raia wa kawaida kama mimi. Atakuwa kama Dr. Silaa japo Dr.Silaa yeye alizawadiwa ukatibu mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kufuatia kuhama kwa lowasa ccm kwenda chadema wanaccm walizungumza mengi sana.
Umoja wa vijana CCM walimkashif sana.....
Leo nipo upande wao.....je hili la kurudi tena CCM watasema nn?
Maana tumezoea kila kitu wanashangilia tuuu.

Akina polepole na msukuma nadhani wanaugua huko walipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom