Chadema ni mabingwa wa propaganda wakati Zito anautaka uwenyekiti wakatengeneza bonge la propaganda ni Yuda ni Ccm B anatumika wakatumia nguvu kubwa sana kuaminisha umma ya kwamba ZITO ni Yuda
Leo tunaona ZITO huyo huyo anataka ACT haiuze kwa Maalim seif ili yeye arudi pale chadema kama katibu mkuu wa chama
Na chadema hao hao wameshasahau kama ZITO ni yuda
Sasa chadema wamebaki na propaganda ya kumuhita lipumba ni Ccm baada ya kushindwa kuiua cuf upande wa bara makubaliano yao na Maalim seif chadema ifanye siasa Tanzania bara na cuf Maalim seif ifanye siasa Zanzibar
Dill limekwama baada ya lipumba kustukia mchezo wao sasa wamemgeuza lipumba ni adui na kusambaza propaganda kibao kwa wapiga dhumari ya kwamba lipumba ni Ccm
na
Mwisho wa siku ili nalo wanakwenda kuferi hakuna mtu yeyote wa kumtoa lipumba pale cuf
2020 ndio hiyo inakuja lipumba hana cha kupoteza ila yule babu ndio atakaye poteza yeye anautaka urais wa Zanzibar na kesi kibao zimefunguliwa mahakamani ....
Sent using
Jamii Forums mobile app