Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

na

kuunga mkono pia japo wakati wake umekwisha amerudi ili astaafu siasa huku akipunguza maadui na waweze kumlinda siku zijazo.
Simkubali lowasa toka akiwa ccm mpaka akiwa chadema na sasa pia simkubali bado.
Uzuri comments zangu zipo humu.
 
Siasa ni siasa sheikh, kwanza nyie ndiyo mlianza kumuita fisadi, and then mkamwita mtukufu na kumpachika katika nafasi ya kugombea kiti cha urais!


nakosa la kukujibu..ngoja kwanza nitulie..

hivi kwan kwenyesiasa kuna urafiki wa kudumu?☺
 
Kwa hiyo unafikiri lowasa kurudi ccm wale waliokuwa wanamuunga mkono bado wataendelea? na je kwa kiwango gani ? Vilevile au zaidi au pungufu ? Maana tayari kitendo chake ni cha kujidhalilisha sana kwa kukosa msimamo kwa hiyo unafikiri watu watamuunga mkono mtu asiye na msimamo .Katika siasa lolote laweza kutoka mambo yatakuja kuwa tofauti kuliko watu wanavyodhania time will tell ,kwa uadui alioujenga jiwe nnje na ndani ya chama ,hata akiwarudisha karibu aliowananga haitamsaidia bali ataangamia .
 
To every action there is an equal and opposite reaction.hii ni baada ya Bashe kumjibu Rais mstaafu wa awamu ya nne.
Na nakumbumbuka juhudi za Nape dhidi El matusi yote aliyomtukana na kwa sasa Nape na namba moja haziivi kwenye chungu kimoja.Sasa ni zamu Ya Nape kukiona chama kichungu
Muungano wa Lowasa,Rostam ndani ya CCM kwa sasa pigo kubwa kwa wapinzani wa ndani ya chama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan nimepata nguvu ghafla..Lowasa kastaafu tu siasa dadeq zako ww..tujuane tu chadema asilia..na kina nyalandu kama mmekuja kutudekshia imekula kwenu na sumaye kama unachapa lapa huu ndo mwaka wako..mtuache jaman na chadema
 
Back
Top Bottom