..jiulize kabla ya ubunge alikuwa anafanya kazi gani.
..Lissu ana jina kubwa kimataifa kama mwanaharakati wa kutetea haki za binaadamu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili huna wewe, sijui kwa sifa zipi? Lipumba huyu huyu ninae mjua mimi au? Acheni kuupambanua ujinga wenu, amefanya nini kwa upinzani? Hizo ghiriba za kuchukua ruzuku kwa njia ya msajili au?Niliisubiri hii Siku kwa hamu kuwaona kina maalim seifu na mbowe wakiumbuka. Lipumba roho ilimsuta aliona mbali. Hence proved prof ni prof tu
Hakika sisi Chadema tunayo furaha kubwa kwa Mzee Lowasa kurudi kwao.Alifuata urais na kaukosa na kasoma alama za nyakati kuwa Chadema isingempa nafasi hiyo tena,kaona bora akatetee familia yake. Sioi, Kitlya na Shose wataachiwa huru soon. Tunamtakia maisha mema huko kwao, hakuna kinyongo naye, hajatukosea.Kwa taarifa yako CCM wanavyofanya sherehe kumpokea Lowassa na CHADEMA nao wanafanya sherehe ya kuondoka Lowassa.
Chadema mmeshapoteana. Rais was mioyo yenu karudi kuungana na rais was TanzaniaKatika kitu nachokiona juu ya huu mpango wakumrudisha Lowassa kuna mambo mawili juu ya siasa za CCM.
Moja ya mkakati huu nikumdhohofisha Cumilius Membe na team yake!kwakutambua Membe ana wafuasi na amekigawa Chama. Pili wanatambua Lowassa anamasalia mengi CCM hivyo kumrudisha nimsaada kwa UMOJA ndani ya CCM pia kudhoofisha CHADEMA kwakuwa wamemfastrate Mbowe kwakujua kesi zinazomkabili. Chama kitadhoofika pia kitakimbiwa na wanachama.
Mytake nikwamba Lowassa si asset tena kwa chama pia kwa taifa ila nachokiona Membe bado ananguvu katika chama hasa CCM hivyo sioni kama wamepiga bao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaaani leo nacheka sana cdm wote wameamua kumuachia muumba hahahahahaha yaani kila nna msoma naona kaandika kimajonzi hahahhaa lowasa nyoko sana
kwani EL yule wa 2015 ndio huyu wa leo?!Mnamu overrate sana Membe. Huyu kimkakati hanusi hata nukta kwa Lowasa. Jipangeni tu upya Chadema ili walau 2025 mrejeshe nguvu yenu ya kuelekea ikulu lakini ya CCM kwasasa hayatowasaidia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania X2
CCM yawina
Watanzania X2
ooh! CCM yawina.
Na Madereva,
CCM yawina
Na MamisheX2
Ooh! CCM yawina
Na dini zote X2
ooh! CCM yawina
na Wakulimax2,
CCM yawina
Watanzania X2
CCM yawaina
Na wafanyakazi X2,
ooh! CCM yawina
Na Wafugaji x2
CCM yawina
WatanzaiaX2
CCM yawina.
Wafanyabiasharaa X2
ooh! CCM yawina.
na Wasomi x2
CCM yawina,
Na Wamachinga
CCM yawina
Watanzania X2
CCM yawina - John Komba
Chadema mmeshapoteana. Rais was mioyo yenu karudi kuungana na rais was Tanzania
Mkuu, wewe mwambie aendelee kuzungusha mikono na kupiga deki kule Mwanza, viazi hao makamanda akili zimejaa makamasi..Zwazwa mwenyewe na mpumbavu usiyejielewa ww .
Mbowe aliwaingiza chaka lakini lipumba na slaa walikataa