Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Polepole anasemaje ss,bado hafai au anafaa?[emoji23][emoji23][emoji23]
sent using...tecno wereva[emoji23]
sent using...tecno wereva[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisaWatu Kurudi CCM kulinishangaza mwanzoni hasa kwa wabunge na madiwani kwa kuwa nilikuwa sijajua kama ni project ya ccm;
Ni sawa na Kuanzishwa kwa ACT mi mwanzo niliona kama ni tukio la kawaida, mpaka nilipojua kwamba ni project ya kuwagawa wana chadema ili nguvu ya chama ipunguwe,
Ila kurudi kwa Lowassa hakunistui.
Maana, sikuwahi kumwamini hata 50%
Na alipokuja Chadema alinipunguzia imani juu ya chama, hivyo kuondoka kwake kunanipa raha.
Sasa nawaasa viongozi wakuu wa chama,
Wampokee yeyote atakaekuja kujiunga, ila wasimpe madaraka yoyote, akae kama mwanachama tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahaaaaa kweli aljyetunga story ya sungura "sizitaki mbichi hizi......." alikuwa na mengi, leo CDM yanawatoka haya maneno?????Hakuna mwana Chadema anayeweza kupanic kwa kuondoka mzee Lowasa, actually tumefarijika sana kama mtu aliyemaliza mkopo wa benki.
Lissu akigombea 2020 itakuwa ndiyo mwisho wake kisiasa. Baada ya uchaguzi hatakuwa na cheo chochote cha kumfanya apatate jukwaa la kusemea. Bora apambanie kurudi bungeni, vinginevyo, atabaki kuwa raia wa kawaida kama mimi. Atakuwa kama Dr. Silaa japo Dr.Silaa yeye alizawadiwa ukatibu mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa nova,.Tufanye mambo mazuri siyo siasa tena...
mfano na mbowe akatoka na kujitoa CHADEMA
Hahaa Lowassa namfananisha na mtoto mkali hadi sometime unalia pekeako,amekugombanisha na familia kisa walikuwa wanasema ana tabia mbaya, leo karudi kwa lijamaa lake la zamani lililokuwa linamtesa na kumuita malaya...Sawa nova,.
Nikweli pambano limemshinda"If you cannot fight them, join them." nadhani ameona hawezi kupingana nao maana wao wameshika mpini yeye alishika makali, ameamua kuungana nao.
Katika kitu nachokiona juu ya huu mpango wakumrudisha Lowassa kuna mambo mawili juu ya siasa za CCM.
Moja ya mkakati huu nikumdhohofisha Cumilius Membe na team yake!kwakutambua Membe ana wafuasi na amekigawa Chama. Pili wanatambua Lowassa anamasalia mengi CCM hivyo kumrudisha nimsaada kwa UMOJA ndani ya CCM pia kudhoofisha CHADEMA kwakuwa wamemfastrate Mbowe kwakujua kesi zinazomkabili. Chama kitadhoofika pia kitakimbiwa na wanachama.
Mytake nikwamba Lowassa si asset tena kwa chama pia kwa taifa ila nachokiona Membe bado ananguvu katika chama hasa CCM hivyo sioni kama wamepiga bao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anakimbizwa na njaa yake ya urais.Kwa mtazamo wangu Lowasa anamwogopa mnoo Tundu Lisu na anahofu atagombea 2020 na kushinda, hivyo kaamua akimbie mapemaaa.
Eti nashangaa sijasikitika kuondoka kwake japo nimemwazia tu Mbowe yupo rumande sijui kajisikiajee.
Anyway siasa za tz zilishaniboaga muda Sana...nimekuwa mtazamaji tu Kama sipo vile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha,.kaona kifo chake yule...kaona bora akifuate tuu huko huko..Hahaa Lowassa namfananisha na mtoto mkali hadi sometime unalia pekeako,amekugombanisha na familia kisa walikuwa wanasema ana tabia mbaya, leo karudi kwa lijamaa lake la zamani lililokuwa linamtesa na kumuita malaya...
Membe akienda chadema watampokea?Katika kitu nachokiona juu ya huu mpango wakumrudisha Lowassa kuna mambo mawili juu ya siasa za CCM.
Moja ya mkakati huu nikumdhohofisha Cumilius Membe na team yake!kwakutambua Membe ana wafuasi na amekigawa Chama. Pili wanatambua Lowassa anamasalia mengi CCM hivyo kumrudisha nimsaada kwa UMOJA ndani ya CCM pia kudhoofisha CHADEMA kwakuwa wamemfastrate Mbowe kwakujua kesi zinazomkabili. Chama kitadhoofika pia kitakimbiwa na wanachama.
Mytake nikwamba Lowassa si asset tena kwa chama pia kwa taifa ila nachokiona Membe bado ananguvu katika chama hasa CCM hivyo sioni kama wamepiga bao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtulia aligombea kwa ticket ya CUF na alikuwa aki wakilisha CUF hakuna chama kinaitwa UKAWA
Sent using Jamii Forums mobile app
As long as mzee karudi kustaaf hatna shida nayeTangu jana mpaka muda vijana wa bavicha wamepandisha nyuzi nyingi sana kumuhusu Lowassa,
Kuhama kwake wengi wanajifanya kutoshangazwa wala kushitushwa na uondokaji wake.
Lakini kitendo cha kufungua nyuzi mfululizo linatoa picha ni jinsi gani hili jambo limewauma kuliko hata shambulizi la Lissu kupigwa risasi,
Shambulizi baya mlengaji amepiga pigo moja lenye uzani na uchungu mwingi,kila wakikumbuka walivyomtetea na kutukana watu,walivyodeki barabara,waliamua kumtosa mtu muhimu dkt slaa kwa mustakabali wa matumbo yao na tamaa ya kuingia ikulu kwa kutumia silaha yeyote iliyopo mbele.
Ama kwa hakika vijana wamechanganyikiwa ndio kwanza hakusubiri mbowe atoke gerezani, ndio kwanza ametuonyesha Lowassa alikuwa peke yake ndani ya chadema.
Kama alivyoibuka ikulu bila itelejensia kujua ,ndivyo alivyopata mualiko katika ufunguzi wa maktaba ya chuo kikuu ,na ndivyo alivyoondoka jana na kuibukia Lumumba.
Alishawambia mkiona mtu anahama chama vuteni shuka zenu mjifunike mpaka usoni.
Bavicha wamepaniki rasmi wameamua kurudisha jina lake pendwa fisadi wakati alipokuwepo huko walimtetea kwa kila hali!
Vijana mmepaniki!
Kwa mtazamo wangu Lowasa anamwogopa mnoo Tundu Lisu na anahofu atagombea 2020 na kushinda, hivyo kaamua akimbie mapemaaa.
Eti nashangaa sijasikitika kuondoka kwake japo nimemwazia tu Mbowe yupo rumande sijui kajisikiajee.
Anyway siasa za tz zilishaniboaga muda Sana...nimekuwa mtazamaji tu Kama sipo vile.
Sent using Jamii Forums mobile app