Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Hana uwezo wa kufanya kazi na yuko ugenini kwenye matibabu baada ya jiwe kuagiza ashambuliwe. Hebu ww kaa zaidi ya mwaka kitandani bila kufanya kazi kama hujaona tukitembea na mkeo chumbani kwako. Ww mwenyewe ukiumwa mafua tu unachangiwa ndio itakuwa matibabu ya Ulaya?
Hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wafuasi wa Lowassa huko CCM ni wale waliodhani atawanufaisha siku akiinuliwa enzini. In fact hata yeye aliwatafuta kwa gharama kibwa (mtandao wa Lowassa).

Kwa hali ya sasa Lowassa hawezi tena kufika Ikulu (kwenye enzi). Hilo linaua influence yake na litapunguza sana idadi ya wafuasi kama wapo.

Lowassa karudi CCM kutafuta au kulinda terminal care tu!
Kazeeka. Kachooka!
 
Ni nani kati yenu aliyewahi kumuona Lowassa kavaa gwanda hata siku moja?
99470C67-84AD-4CB2-8457-BDDE80CE4668.jpeg
 
Kazi ya Kwanza ya Rostam ulikuwa kumrudsha Ngoyai Na ameikamilisha kwa a haraka Sana Kuliko ilivyotarajiwa

Kazi ya pili kutafuta 'mawakala wa Tigo pesa' Kwenye Vyama vya Upinzani Na Ni rahisi Sana kwake Kuliko ya kumrudisha ngoyai
Kazi ya tatu Ni kurudisha Na Kuwa Middleman kati ya Wafanyabiashara Na SerIkal


Ila tukumbuke Rostam Ni Muajemi ukizubaa unaokota Mpira Nyavuni

Bora hata Kikwete alikuwa na ujanja wa mjini, huyu peasant anaingizwa kingi mchana kweupe.
 
Msishangae kurudi W kwa Jerry Sla kwenye siasa za CCM. Jerry ni product ya The King Maker
 
Kazi ya Kwanza ya Rostam ulikuwa kumrudsha Ngoyai Na ameikamilisha kwa a haraka Sana Kuliko ilivyotarajiwa

Kazi ya pili kutafuta 'mawakala wa Tigo pesa' Kwenye Vyama vya Upinzani Na Ni rahisi Sana kwake Kuliko ya kumrudisha ngoyai
Kazi ya tatu Ni kurudisha Na Kuwa Middleman kati ya Wafanyabiashara Na SerIkal


Ila tukumbuke Rostam Ni Muajemi ukizubaa unaokota Mpira Nyavuni
😀😀😀😀😀😀😀
 
Katika watu wachache waliolifahamu jambo hili labda kwa miezi 6 iliyopita mimi ni mmojawao , sina wasiwasi wala shaka yoyote ile

mimi nilipata hisia fulan nadhan oct au nov..nikasema hapana bwana..jamaa àlikua amemute sana..pumbavu sana
 
Katika kitu nachokiona juu ya huu mpango wakumrudisha Lowassa kuna mambo mawili juu ya siasa za CCM.
Moja ya mkakati huu nikumdhohofisha Cumilius Membe na team yake!kwakutambua Membe ana wafuasi na amekigawa Chama. Pili wanatambua Lowassa anamasalia mengi CCM hivyo kumrudisha nimsaada kwa UMOJA ndani ya CCM pia kudhoofisha CHADEMA kwakuwa wamemfastrate Mbowe kwakujua kesi zinazomkabili. Chama kitadhoofika pia kitakimbiwa na wanachama.

Mytake nikwamba Lowassa si asset tena kwa chama pia kwa taifa ila nachokiona Membe bado ananguvu katika chama hasa CCM hivyo sioni kama wamepiga bao.


Sent using Jamii Forums mobile app
Anayewaambia Membe ananguvu za kupingana na katiba ya chama 2020 ni nani? Membe hata akigombea hawezi kumshinda JPM ambaye ndiye aliyeshika hatamu. Jiandaeni kwa 2025.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom