gemmanuel265
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 8,485
- 18,048
HahahahaHana uwezo wa kufanya kazi na yuko ugenini kwenye matibabu baada ya jiwe kuagiza ashambuliwe. Hebu ww kaa zaidi ya mwaka kitandani bila kufanya kazi kama hujaona tukitembea na mkeo chumbani kwako. Ww mwenyewe ukiumwa mafua tu unachangiwa ndio itakuwa matibabu ya Ulaya?
Sent using Jamii Forums mobile app