Sijui kwanini kurudi CCM Kwa Lowasa hakujaleta pilikapilika ... Yaani kimyaaaaa?Wakati alipojiunga na CDM aliambatana na mke wake kipenzi ,mama Regina Lowassa,na wote wakatamvulishwa hadharani na kupewa kadi.
Swali,kulikoni Jana hatukumona mama Regina Lowassa naye akikaribishwa chamani?
Au safari hii amemsaliti mumewe Mzee Lowassa?
😀😀 Halafu babu lowasa lazima avae shati la mauamaua ama white shirtZile nguo ni nzito za kimapambano sio shati za mbogamboga zile
Sasa kwa afya ya mzee sio rahisi kusimama na kutembea nazo
Ninachoongelea ni supply ya heavy mining machineryBarrick haijawahi kutoa kandarasi ya uchimbaji kwa Caspian zaidi ya kandarasi ya kuchimba kibwawa cha plant pale bulyanhulu, supplier wa heavy machine wa barrick kwa pale bully ni sandvik, kwa buzwagi ni komats'u na north Mara ni atlas copco.
Ndo namsikiliza padre slaa atalonganiKiasi jamaa anawavuruga mpaka wanakosa pakushika. Slaa ana mipango yake na ccm ina mipango yake, hapo sasa ngoja usikie kauli yake.
Caspian amesupply kwa nani??Ninachoongelea ni supply ya heavy mining machinery
Ni kitendo cha aibu mno Lowassa kurudi ccm, inakuwa sawa na kutenda kosa kubwa na kwenda kujisalimisha mbele ya kadamnasi.Wakati alipojiunga na CDM aliambatana na mke wake kipenzi ,mama Regina Lowassa,na wote wakatamvulishwa hadharani na kupewa kadi.
Swali,kulikoni Jana hatukumona mama Regina Lowassa naye akikaribishwa chamani?
Au safari hii amemsaliti mumewe Mzee Lowassa?
hata hizo Caspian haisuply wala haijawahiNinachoongelea ni supply ya heavy mining machinery
Duh..
Ndio keshafanya tenaNi kitendo cha aibu mno Lowassa kurudi ccm, inakuwa sawa na kutenda kosa kubwa na kwenda kujisalimisha mbele ya kadamnasi.
Caspian ni Construction Company. Ku supply alitumia kampuni nyingine.hata hizo Caspian haisuply wala haijawahi
Jidanganye..mwezi wa nne Lissu kaalikwa kuhutubia Congress..2020 hakuna janjajanjani kweli njia nyeupe kuelekea ufipa ila ya kuelekea magogoni wanapita wateule na wapakwa mafuta tu
Lowassa alipojiunga Chadema tuliona mbwembwe za Mwenyekiti chadema Freeman Mbowe akiitisha press conference akiongea kwa complex superiority na mbwembwe nyingi kutamgaza ujio wa Lowassa Chadema.Mbona Mbowe hutoi tamko kulikoni? Unaumwa au?
Sasa Lowassa amerudi CCM, chama cha muajiri wako. Tunaomba tamko lako Mh. balozi.
Sent using Jamii Forums mobile app