Sijui kwanini kurudi CCM Kwa Lowasa hakujaleta pilikapilika ... Yaani kimyaaaaa?Wakati alipojiunga na CDM aliambatana na mke wake kipenzi ,mama Regina Lowassa,na wote wakatamvulishwa hadharani na kupewa kadi.
Swali,kulikoni Jana hatukumona mama Regina Lowassa naye akikaribishwa chamani?
Au safari hii amemsaliti mumewe Mzee Lowassa?