Rwankomezi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 3,285
- 2,636
Alisema mavi yamekuja sebuleni akaamua kukimbilia chumbani, sasa leo mavi yale yale yamemfata chumbani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mzee slaaa alimfananisha lowasa na Choo cha kiafrika, Sasa alichoo kiita Choo boss wake slaa (jiwe)anakiita lulu.
Swali ni slaaa alikikimbia choooo leo choo kimemfuata mzee slaa.atakikimbia Tena hicho choooo. ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Anafuata Mbowe sasa!!Kwahiyo hajinyei tena?
Sijasikia kama wako chama kimoja!!!! LoL
Nijuavyo mimi Slaa aliacha Party Politics na sijamsikia kurudi CCM na CCM wasiacha kututaarifu kama amerudi.Alisema mavi yamekuja sebuleni akaamua kukimbilia chumbani, sasa leo mavi yale yale yamemfata chumbani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona umepanik sana. Kunywa maji zungusha mikono. Mabadilikooooooooo! Haya umefurahi.Acha kuandika pumba. Kama huna la maana la kuandika kaa kimya badala ya kuonyesha ujuha wako hadharani. Matapeli kwanini hawakamatwi? Kuna mwizi nchi hii kama kubwa la majizi dhalimu na dikteta magufuli? Nyumba za Serikali hasara zaidi ya trillions 3, ufisadi wa kivuko 8 billions, kukwapua hazina 2.4 trillions. China huyo dikteta wangeshamtandika risasi miaka mingi kwa wizi na ufisadi wake.
Mbona umepanik sana. Kunywa maji zungusha mikono. Mabadilikooooooooo! Haya umefurahi.
Political is sayansi jomba utaelewa tu,Niliisubiri hii Siku kwa hamu kuwaona kina maalim seifu na mbowe wakiumbuka. Lipumba roho ilimsuta aliona mbali. Hence proved prof ni prof tu
Mawazo yako mazuri lakini kosa liko wapi kama jopo la wanachama ligundua mwenyekiti wao alikua sahihi wakamwomba tena arudi kukinusuru chama? Kuna busara zaidi ya hi..mwanzoni Prof alionyesha busara za ki profesa kwa kung'atuka kistaarabu.
..amekuja kuharibu baada ya kuamua kurudi ktk nafasi aliyokuwa amejiuzulu.
..Prof angekuwa SHUJAA kama angesubiri kwanza Lowassa arudi CCM ndipo na yeye ajitokeze kurejea Ukawa.
Tatizo lako ndio hilo kwani Mimi ndio nilimwambia lowasa arudi ccm sasa kwanini hasira zote kwangu? Hii ndugu ishakula kwenu. Nawa miguu panda kitandani ulale....hasira zitaisha tu.Nimepanic wapi taahira wewe? Uzwazwa wako kwa mazwazwa wenzio lumumba si humu.
Mawazo yako mazuri lakini kosa liko wapi kama jopo la wanachama ligundua mwenyekiti wao alikua sahihi wakamwomba tena arudi kukinusuru chama? Kuna busara zaidi ya hi
Hiyo ya kukiharibu sana ilikua ni propaganda ya chadema chini ya lowasa na mbowe wakisaidiana na mroho wa madaraka mwenzao kutoka kule p-hemba. Kwa sasa ambapo mambo yapo clear nani atawaamini mapropaganda yao...alitakiwa atafakari hatari ya yeye kuwakubalia hao waliomuomba arejee ktk uenyekiti wa cuf.
..naamini ilikuwa busara zaidi kama angesubiri kuliko alivyokurupuka kurejea.
..sasa hivi anaonekana kukiharibu chama kuliko kukisaidia na kukihifadhi.
Tatizo lako ndio hilo kwani Mimi ndio nilimwambia lowasa arudi ccm sasa kwanini hasira zote kwangu? Hii ndugu ishakula kwenu. Nawa miguu panda kitandani ulale....hasira zitaisha tu.
Hiyo ya kukiharibu sana ilikua ni propaganda ya chadema chini ya lowasa na mbowe wakisaidiana na mroho wa madaraka mwenzao kutoka kule p-hemba. Kwa sasa ambapo mambo yapo clear nani atawaamini mapropaganda yao.
Wewe nyau hebu kwenda zako wewe hujui chochote unatoa povu tu. Kazungushe mikono huko. Kama una hoja lete, sio viroja.Acha upambavu wako wewe. Shule za kata zimedumaza akili yako. Kwa sababu wewe unalala usidhani kila mtu analala zwazwa wewe.
Nilikuwa Bize na msiba, kwa nini tutafutane??Akina Allen Kilewella leo wanatafutana.