Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Najiuliza tu kama angeshinda urais na Leo akaamua kurudi nyumbani kwahiyo tungerudia uchaguzi??

Naona hizi chaguzi ndogo nazo ziundiwe utaratibu........tutakuja kupata hasara isiyo na mfano!

Karibu Nyumbani Lowasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kuandika pumba. Kama huna la maana la kuandika kaa kimya badala ya kuonyesha ujuha wako hadharani. Matapeli kwanini hawakamatwi? Kuna mwizi nchi hii kama kubwa la majizi dhalimu na dikteta magufuli? Nyumba za Serikali hasara zaidi ya trillions 3, ufisadi wa kivuko 8 billions, kukwapua hazina 2.4 trillions. China huyo dikteta wangeshamtandika risasi miaka mingi kwa wizi na ufisadi wake.

Mbona umepanik sana. Kunywa maji zungusha mikono. Mabadilikooooooooo! Haya umefurahi.
 
Baba: Mwanangu Ukiwa mkubwa ungependa kuwa nani?
Lowassa: Rais
Baba: Kupitia chama gani mwanangu?
Lowassa: Kupitia chama chochote baba, ilimradi tu nimekuwa Rais
 
..mwanzoni Prof alionyesha busara za ki profesa kwa kung'atuka kistaarabu.

..amekuja kuharibu baada ya kuamua kurudi ktk nafasi aliyokuwa amejiuzulu.

..Prof angekuwa SHUJAA kama angesubiri kwanza Lowassa arudi CCM ndipo na yeye ajitokeze kurejea Ukawa.
 
Mawazo yako mazuri lakini kosa liko wapi kama jopo la wanachama ligundua mwenyekiti wao alikua sahihi wakamwomba tena arudi kukinusuru chama? Kuna busara zaidi ya hi
 
Nimepanic wapi taahira wewe? Uzwazwa wako kwa mazwazwa wenzio lumumba si humu.
Tatizo lako ndio hilo kwani Mimi ndio nilimwambia lowasa arudi ccm sasa kwanini hasira zote kwangu? Hii ndugu ishakula kwenu. Nawa miguu panda kitandani ulale....hasira zitaisha tu.
 
Mawazo yako mazuri lakini kosa liko wapi kama jopo la wanachama ligundua mwenyekiti wao alikua sahihi wakamwomba tena arudi kukinusuru chama? Kuna busara zaidi ya hi

..alitakiwa atafakari hatari ya yeye kuwakubalia hao waliomuomba arejee ktk uenyekiti wa cuf.

..naamini ilikuwa busara zaidi kama angesubiri kuliko alivyokurupuka kurejea.

..sasa hivi anaonekana kukiharibu chama kuliko kukisaidia na kukihifadhi.
 
Hiyo ya kukiharibu sana ilikua ni propaganda ya chadema chini ya lowasa na mbowe wakisaidiana na mroho wa madaraka mwenzao kutoka kule p-hemba. Kwa sasa ambapo mambo yapo clear nani atawaamini mapropaganda yao.
 
Acha upambavu wako wewe. Shule za kata zimedumaza akili yako. Kwa sababu wewe unalala usidhani kila mtu analala zwazwa wewe.

Tatizo lako ndio hilo kwani Mimi ndio nilimwambia lowasa arudi ccm sasa kwanini hasira zote kwangu? Hii ndugu ishakula kwenu. Nawa miguu panda kitandani ulale....hasira zitaisha tu.
 
Hiyo ya kukiharibu sana ilikua ni propaganda ya chadema chini ya lowasa na mbowe wakisaidiana na mroho wa madaraka mwenzao kutoka kule p-hemba. Kwa sasa ambapo mambo yapo clear nani atawaamini mapropaganda yao.

..bila Prof Lipumba kujaribu kurejea ktk uenyekiti kinguvu CUF wasingekuwa na mgogoro walionao leo hii.

..kwenye siasa TIMING ni kitu muhimu sana.

..Prof alirejea CUF ktk wakati ambao haukuwa sahihi.
 
Acha upambavu wako wewe. Shule za kata zimedumaza akili yako. Kwa sababu wewe unalala usidhani kila mtu analala zwazwa wewe.
Wewe nyau hebu kwenda zako wewe hujui chochote unatoa povu tu. Kazungushe mikono huko. Kama una hoja lete, sio viroja.
 
Back
Top Bottom