Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Time will tell

Sent using Jamii Forums mobile app
 
siasa ni fitina jinsi unavyoweza kucheza nazo ndo ushindi hivyo wanasiasa sio wa kuaminika wala kuwategemea katika maisha yako
 
NYIE MMELOGWA NA MBOWE YAANI ANAWAIBIA HUKU MNAONA HALAFU MNASEMA HANA KOSA RUZUKU ANA PELEKA WAPI??
Usituhamishie Goli,Upande wa Ruzuku CCM kuna Shimo kubwa Kuliko, turudi kwa Mzee LOWASSA na Mwanae FATUMA.
Pia Makonda alimtoa wapi FATUMA na Sasa kamficha wapi
Au Bashru Ally ni mkweli kuwa "CCM kuna Mitambo ya kutengeneza Uongo"
 
Usituhamishie Goli,Upande wa Ruzuku CCM kuna Shimo kubwa Kuliko turudi kwa Mzee LOWASSA na Mwanae FATUMA.
HUNA HOJA MTETEE MBOWE RUZUKU ANAPELEKA WAPI??? KASHINDWA HATA KUJENGA OFISI BORA AENDELEE KUKAA TU HUKO MAHABUSU HANA UMUHIMU HUKU URAIANI
 
HUNA HOJA MTETEE MBOWE RUZUKU ANAPELEKA WAPI??? KASHINDWA HATA KUJENGA OFISI BORA AENDELEE KUKAA TU HUKO MAHABUSU HANA UMUHIMU HUKU URAIANI
Mbona Ruzuku hata CCM millioni800 haina Maelezo Kafu ya Professa na Mtungi wa Tume kuna Shimo.
 
Dr. Slaa alisema yeye wakati anashawishiwa na Mshenga wa Mh Lowasa alimuambia jamaa kaja na kitita cha fedha takribani Billion 15 ambazo mfadhili wake Rostam amemfadhili
 

Kila nikimtazama Katibu nacheka sana ati "CCM ina mitambo ya kutengeneza Uongo"
Na kweli penye Ukweli uongo hujitenga nduo Maana hakuwa kimbelembele katika "Kumpokea Mnunuzi wa Chama Chake"bila ya yeye kupokea senti..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜Š
 
hahahaha, SACCOS iwe na bei kubwa kuliko chama kikubwa cha siasa Afrika, tangu lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…