kimu mazengo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 927
- 733
Time will tellSote runakumbuka Vividly wakati Lowassa alipogamia CHADEMA tuliambiwa huku watu wakiapa viapo vya Miungu yao bila hata ya aibu Usoni
Hayaaa hayo yalipita Ping imekuwa Pong je Lumumba nayo Karudi Kwa kiasi gani?
Huko nyuma tuliambiwa Ooh!! Mwenyekiti Mhe Freeman Aikaeli Mbowe Kavuta Billioni sita Kaenda kuzichimbia Dubai na kwamba Dubai ana akaunti kibao kwa hiyo CHADEMA ni SACCOs yake Binafsi...Mara Ooh!..yeye na BAmkwe wake.
Mambo yameshadhihirika kwa wananchi CCM ilikuwa ikiwalisha Shubiri Mwitu wakishushia na juisi ya Matango Pori..
CCM kimeishiwa Mbinu na Uongo na huwa wanaamini ili Upate Uongozi lazima uwe Muongo.
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kimesingiziwa mengi ila sasa ni zamu ya wananchi kutafakari kura zao walizipoteza kwa kuitumbukizia CCM mimi Binafsi najuuuta ba Kusaga Meno kwanini niliitumbukizia CCM
Ila Never Again!
Peoples Power
Azimio la Zanzibar 2 ni lini litafanyika tunalisubiri kwa hamu.
Sent using Jamii Forums mobile app