Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Amemshinda yule mzee wa vitambulisho vya wanyonge hivi wanajeshi wamemaliza kubangua korosho kwa meno?

Ana mbwembwe sana meko mar hela za korosho zipo mara korosho hazina ubora huyu haaminiki na genge lake la wakina rostam
Koroshow imewatoa show ya kibabe

In God we trust
 
Wote ulowataja CHADEMA siyo chama chao cha kwanza kujiunga kwa hiyo hakuna jipya
 
Hapa nchini kuna maraisi wa aina nyingi sana. Kama vile
- Raisi wa 'Nchi'
- Raisi wa TLS
- Raisi wa Jiji laMbeya
- Rais wa wanafunzi wa chuo Kikuu
nk.

Lakini kuna Raisi mwingine al-maarufu kama "Raisi wa mioyo ya watanzania."
Cheo hiki alipewa binadamu mmoja tu hapa kwetu.

"Alikua kwao,
akaja kwetu, alikuja na walio wake, waliokua sio wake walimpokea, akawa Mwanachama, sasa amerudi kwao."

Bwana Nywele nyeupe na moyo safi, alipata kunukuliwa akisema, "KUHAMA CHAMA SIO DHAMBI..."

Nilichogundua, CDM Hawakumtaka peke yao, kumbe bado alikua anamezewa Mate.

Ukisema wa Nini, wengine wanajiuliza nitampata lini?!.

Walifanya tujihisi tunayo hatia kumpokea, kumbe wanamtaka pia kimoyomoyo.
Ujanja kupata, Sasa Wame-snatch mikononi mwa CDM, ameshakua wa wao.

Machalii wa Arusha tujiandae kumpokea homeboy..

Naskia kuna wana CDM, ameshawatoka hata mioyoni mwao hayupo tena. Dah!. Inanikumbusha ule wimbo wa Roma Mkatoliki "Nakwenda Zimbabwe".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeandika kwa hisia saana na masikitiko makubwa aise vip madee ni prezida wa wap vile?

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Lowassa alikuwa mgombea Urais akiwakilisha vyama vilivyokuwa vinaunda Umoja wa Katiba ya Wananchi ( UKAWA) mwaka 2015. Mwaka 2016, Juma Duni Hali aliyekuwa mgmbea mwenza wa Lowassa alirejea Chama cha Wananchi (CUF).

Wakati Lowassa anarudi CCM alisema hakuna sababu yoyote Zaidi ya kurudi nyumbani. Juma Duni Haji yeye akasema CHADEMA ina Wenyewe.
Kwanini Chadema wanaona kukerwa sana na kuhama kwa Lowassa kuliko Juma Dini Haji?
Aliyekuwa Mgombea Mwenza wa Urais CHADEMA, Juma Duni Haji amerejea CUF huko Zanzibar - JamiiForums
 
Kwa taarifa yako na mazezeta wenzako hapo Lumumba kuondoka kwa huyo mzee ni Faraja kubwa sana kwetu, ametukwaza sana ila tulimvumilia kwa kumheshimu tu lakini baada ya uchaguzi mkuu hakuwa na mchango wowote kwa chama,hivyo tunamshukuru kwa kuondoka na tunamtakia maisha mema huko chooni kwani Dr. Slaa alitulaumu kumchukua na kufananisha kitendo hicho sawa na kuhamiasha kinyesi toka chooni (CCM) na kukipeleka sebuleni(Chadema).

Hayo ni mwawazo yako Kwa mtizamo chanya amekipa chama cha Chadema ahueni kubwa sana km siyo asilimia 1000000% ''Hon.Lowasa can not contest for Presidency 2020 for any party ''
 
Kwa taarifa yako na mazezeta wenzako hapo Lumumba kuondoka kwa huyo mzee ni Faraja kubwa sana kwetu, ametukwaza sana ila tulimvumilia kwa kumheshimu tu lakini baada ya uchaguzi mkuu hakuwa na mchango wowote kwa chama,hivyo tunamshukuru kwa kuondoka na tunamtakia maisha mema huko chooni kwani Dr. Slaa alitulaumu kumchukua na kufananisha kitendo hicho sawa na kuhamiasha kinyesi toka chooni (CCM) na kukipeleka sebuleni(Chadema).

Sent using Jamii Forums mobile app
unawasemea Mbowe na kundi lake? umesoma Makala ya Mwenezi wa Chama hicho ambaye alihama na LOWASSA na kundi lake la 4U, Hemedi Ally? wewe hata Ofis za CHADEMA unajua zilipo? umesoma andiko la Lissu akikiri Lowassa alifanya kazi nzuri?
 
Back
Top Bottom