Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Alisafishwa Mpaka tuhuma za Ufisadi hapa eti leo tunaambiwa hana IMPACT [emoji23] [emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lissu njia nyeupe 2020 ,lowasa asante sana .
Naona mmeanza kuyala matapishi yenu na inawabidi mkampigie magoti na mtubu kwa matusi mliyo kuwa mnamtukanaKazi ameshamaliza!! Kuna mwingine bado yuko huko anakamilisha kazi...!!
Kwani doctor Slaa hujui kuwa Alikuwa CCM kabla kuja chadema na baadaye akarudi tena CCM.Chadema mlimchukua kwa muda tu.Mliacha kuhangaika na wa kwenu mkawa mnabeba wa CCM imekula kwenu.Kwenye mpira timu ikiwa mazoezi hujigawa mara mbili Moja timu pinzani wanacheza ukiwaona unafikiri timu mbili kumbe timu moja imejigawa.Wafadhili na wa nje walitaka Upinzani ndio huo bila shaka wameona.Afrika watukome waachie politics zichukue mkondo wake wamjue tu how to survive with elected governments kama China lakini kujitia they know too much of African politics they are wrong.Current generation are learned sio kama wa enzi za akina Patrice Lumumba au akina Mobutu seseko . Poleni wote mlioshinda juani kukesha vituo vya kura na mliotandikwa virungu na polisi,mliopoteza kazi nk mtajijua ndio mkome shenzi nyie kujiingiza siasa kichwa kichwapatamu sana hapo, ila bora tu afadhari kasepa sasa doctor Slaa huko aliko sijui anajisikiaje
Ndiye ana dawa ya kuporomoka kwa shilingiHii nchi uelekeo wake haueleweki aisee!
Siku Lissu akihama ndo nitaumia ila sio huyo fisadi Lowasa
Dogo nipo hapa Lumumba siti ya mbeleKama kweli wakudadavua na wenzake vipara vipya wataeka wapi sura zao???, mleta mada chanzo tafadhari cha habari yako
Umeongea kirahisi mpaka nimetamani iwe kweli siku moja.....ila kwa ujinga wetu wakuwa bendera fwata upepo kwa wanasiasa wetu.....naona bado hii ni ndoto tuItakuwa faida kwa upinzani 100%....
Nilishapiga kelele sana hapa kuhusu Lowassa na Sumaye....
Hawa ni watu walioshiriki kila aina ya ufisadi ndani ya ccm .
Angalia sasa tamaa ya mbowe sijui na Dr slaa uso wake atauweka wapi?....
Niwakati wa Lissu kapewa chama na kumshawishi Bi Fatuma karume wagombee 2020 tuchukue nchi mapema...
Fukuzeni na Sumaye kwenye chama ungana na Zitto awe waziri mkuu baada ya uchaguzi hapo tutawapigania kwa hali na mali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amerudi kwa aibu kubwa akijificha nyuma ya ruge hata mtu mmoja asijue afadhali CDM sasa.Ukweli nikwamba ccm wameamua kurejesha makundi ndani ya chama
Yani ulipo tupo,
Kazi na bata,
Ccm mpya,
Lile kundi ndogo lililo kajiunga na ccm mpya kiunafki na wale walio kawa banch wataibuka kwa nguvu zote.
Teem ya majani mapana imesajiri usajili kama wa ngasa kwa yanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunajua mali za Rostam ni za Lowassa hivyo wanarudi ccm kuitafuna tena.
Na majuzi Rostam amewapa channel 10 safari ya ikulu imezaa haya
Lowassa kaharibu sana siasaza tz, panse zote mbili haziwezi komalia ufisadi kama ajenda kuu .Naona kwenye tovuti ya chadema atarudishwa kwenye cheo chake cha Fisadi No.1
Sent using Jamii Forums mobile app