Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Tunalo tatizo la ubora wa wanasiasa wetu. CCM imefanikiwa kuwa makini kwa woga wa kunyang'anywa madaraka. Tatizo la upinzani wameshindwa kukubali ubovu wao. Maandalizi ya uchaguzi kwa miaka mitano mwezi wa mwisho unachota mugombea toka nje ya chama. Ni upuuzi.

CHADEMA wanaambiwa badilisheni uongozi wao wanaamini kabila lao linaondolewa. Kweli muongoze chama kikabila na wengine wakiwapa support? Mbowe alianzisha chama, je, ni lazima akione ni cha kwake? Kweli anategemea Nchi hii ya miaka karibu 60, itawaliwe na former DJ? Former casino operator? KIla ubongo una kazi unayoiweza! Let CHADEMA collapse!
 
Kwa kweli niseme asante Mh. Lowasa. Leo umefanya la maana sana, umerahisishia kwa kiasi kikubwa wapinzani kufanya maamuzi sahihi!
 
Nao walijiasahau sana yaani hakuna filtration kabisa mtu day one tu akaenda mpaka master bed room
 
Ningewaamini Chadema sana kama wangekua na safu yao ya ulinzi iliyo PURE sio mambo ya kusajili kutoka kwa majirani tena wangejiekea mgeni yyte anaekuja hata ujumbe hapewi abaki kama machinga tu mwanachama.

Ila tabia yao ya kuchukua watu toka kwa majirani na kuwasafisha wawe wao HUKO NI KUJIDANGANYA wao kama wanaitaka nchi kweli Waondoe wanachama MACHOTARA wote wabaki na watu kuanzia Nje mpk ndani ni chadema Mtupu,yani wabaki na watu ukimkata damu inatoka na maandishi ya CHADEMA.

Kinachowafelisha Chadema wana wanachama hawazidi hata wa 5 ambao ni kufa kupona CHADEMA waliobaki wote MICHOTARA nnje chadema ukiikata damu ndani ni vitu vya ajabu,halafu mnategemea kupata Nchi labda nchi ya jehanamu..
 
Inaitwa no kununa no kucheka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu Mimi niko nawaza tu kwamba itakuwaje mzee mbowe akipata taarifa za mzee lowassa kurudi ccm.

Mzee mbowe ndie alikuwa wa kwanza kumkaribisha mzee lowassa cdm tena kwa shangwe na vigere gere.

Sasa hivi mzee wetu mbowe yuko gerezani na sijajua kama huko gerezani huwa wanapewa nafasi ya angalau kusikiliza redio / kuangalia TV.

Sasa hapa nilipo namuhurumia sana mzee mbowe pindi atakapotoka gerezani na kukuta mgeni wake katoroka nyumbani bila hata ya kuaga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JIWE pumzi imemkata kaona amuombe Lowasa arejee chamani

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
Tatizo akili zako zipo kwapani
In God we Trust
 
Acha woga, itakua ni faida zaidi kwa CDM kuondoka kwa huyo mamvi hata ile nguvu yake ya ushawishi ishakata moto...
Hela imeondoka.Akina Lisu hawana hela ya kuendesha chama mwenye pesa kaondoka Akina Lisu hela ya kula,kulala ,mavazi na ada za watoto hana uwezo wa kugharimia chadema hana
 
Yote ni dhana!
 
Sisy kusema ukweli siasa sio mchafu ila Tanzania ni nchi yenye wajinga kupita kiwango na itachukua muda mrefu sana maana watu wapo kishabiki zaidi badala ya kiuhalisia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…