Ni Faida Sana kwa upinzani. Ila Mzee baba kavurugwa, Koroshow haimuachi salama! Dollar na Shillingi ndio kabisaa. Sasa Lowassa na Rostam wanakumbukwa kwa michezo yao kuelekea 2005, Mzee kaona labda watamsaidia.Ilo lipo wazi ila Lowassa ameshapoteza ushawishi ndani ya ccm na ata nje yupo yupo tu hana jipya..
Kama aliweza kukatwa yeye sembuse Magufuli?
Hii ni faida kwa upinzani 100%.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama jinsi wote tunavyokumbuka mshike mshike kati ya lowasa na Dr slaa kipindi cha 2015 .
Hawa watu walikuwa ni sawa panya na nyau ndani ya nyumba.
Dr slaa alikuwa haungani na cdm kumkaribisha manywele chamani na ndio akachukua uamuzi wa kukaa kando na siasa.
Kwani mzee manywele alikuwa akihusishwa na ma issue ya ki fisadi ambayo hadi leo hayajapatiwa majibu pamoja na mahakama ya mafisadi kufunguliwa.
Sasa leo hii mzee manywele kaamua kumfuata mzee Dr slaa huko huko aliko,hahahaha patamu hapa.
Je kwa kitendo hiki cha mzee manywele kumfuata mzee slaa ccm ,slaa atachukua uamuzi gani?
Kama kweli mzee slaa ni mzalendo ni basi afanye maamuzi magumu yakurudi cdm kwani mbaya wake karudi ccm
Tofauti na hapo wananchi hawatamuelewa kabisa Dr slaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni salama zaidi kwake kuwa CCM Kwa Sasa.Ameshasoma kuwa CCM ni ukoo wa Panya hakuna CCM ya zamani Wala mpya CCM ni ile ile karudi kula pensheni yake Kwa amani Bila bughudha na kuendelea na biashara zake pamoja na akina RostamMimi naona Kilichomleta CHADEMA ni tamaa ya madaraka na sio uwanachama!..
Sasa kaona CHADEMA kuna vijana wenye nguvu na 2020 hana nguvu za kupimana nao ubavu bora arudi ccm ya wanyonge.. na huu ndio mwisho wake kisiasa!
Huko alikorudi ndio kaenda jimalizia mbali.
Kishindo cha ujio WA lissu Tanzania ni zaidi ya ugonjwa kwa asiejua maana ya siasa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani ni shida only in Tanzania kweli...Hahahah yaani siasa za nchi hii aki vile kama kuna muda una stress unaweza cheka hata pekeako,.
Naona walimu wamekumbukwa ili wakasaidie kampeni,.baada ya hapo watarudi kuwakagua vyeti feki ili wawapunguze tena...only in Tanzania,.
Lowassa na Dr Slaa wote ni kama wameshastaafu kwenye harakati za siasa. Hawagombei tena uongozi wowote kwa hiyo hakuna mkwaruzano wowote.Kama jinsi wote tunavyokumbuka mshike mshike kati ya lowasa na Dr slaa kipindi cha 2015 .
Hawa watu walikuwa ni sawa panya na nyau ndani ya nyumba.
Dr slaa alikuwa haungani na cdm kumkaribisha manywele chamani na ndio akachukua uamuzi wa kukaa kando na siasa.
Kwani mzee manywele alikuwa akihusishwa na ma issue ya ki fisadi ambayo hadi leo hayajapatiwa majibu pamoja na mahakama ya mafisadi kufunguliwa.
Sasa leo hii mzee manywele kaamua kumfuata mzee Dr slaa huko huko aliko,hahahaha patamu hapa.
Je kwa kitendo hiki cha mzee manywele kumfuata mzee slaa ccm ,slaa atachukua uamuzi gani?
Kama kweli mzee slaa ni mzalendo ni basi afanye maamuzi magumu yakurudi cdm kwani mbaya wake karudi ccm
Tofauti na hapo wananchi hawatamuelewa kabisa Dr slaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bibi nakuona ukitema madini hapa, naomba nikuulize ni lini Lowassa alihama CCM?Hili swali hata mimi linanipa wakati mgumu sana.
Wanasiasa wote wanafik, wapo kwa maslahi yao binafsi na si maslahi ya wananchi kama tunavyojitahidi kuamini.
Watanzania, tusiuane na kujiumiza kwa kushawishiwa na viongozi wa siasa au eti kwa mapenzi ya chama. Hili ni fundisho kubwa sana.
Natarajia Vijana wa Uvccm kuitisha press na kusema yafuatayo
1: Lowassa sio mgonjwa tena
2: sio jizi
3: sio muhujumu uchumi
Lakini pia natarajia
1: Dr. Slaa kujiudhuru ubalozi
2: prof. Lipumba na Maalim seif kuanza kushirikiana
Na hatimae pia
1: imani ya chadema kwa Sumaye kushuka
Mwisho kabisa
1: Lissu kugombea urais 2020
Sent using Jamii Forums mobile app
CDM hakuna Mgombea Urais Huwa anagombea mara mbili mfululizoHahahaa....... Chadema hawana msimamo mara Membe......mara Lisu....... mara Nape yaani full kujichanganya.
Lowassa kaona isiwe taabu!