Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Ikiwa taarifa za kifo cha huyu ndugu yetu Ruge zimesambaa kila kona, basi taarifa za huyu babu yetu Lowasa
-zimesambaa
-zimefika kote kila kona
-kila mtu anahitaji kuzijua na kuzifahamu kwa undani. si kijijini wala mjini!
Siyo jijini wala shambani, kote wanauliza "Lowasa kafanya nini?"
Mods hii ni "thread jitegemea" tafadhali isiunganishwe wala kupelekwa kokote.
Uzi tayari
 
Ilo lipo wazi ila Lowassa ameshapoteza ushawishi ndani ya ccm na ata nje yupo yupo tu hana jipya..


Kama aliweza kukatwa yeye sembuse Magufuli?

Hii ni faida kwa upinzani 100%.



Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Faida Sana kwa upinzani. Ila Mzee baba kavurugwa, Koroshow haimuachi salama! Dollar na Shillingi ndio kabisaa. Sasa Lowassa na Rostam wanakumbukwa kwa michezo yao kuelekea 2005, Mzee kaona labda watamsaidia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama jinsi wote tunavyokumbuka mshike mshike kati ya lowasa na Dr slaa kipindi cha 2015 .

Hawa watu walikuwa ni sawa panya na nyau ndani ya nyumba.

Dr slaa alikuwa haungani na cdm kumkaribisha manywele chamani na ndio akachukua uamuzi wa kukaa kando na siasa.

Kwani mzee manywele alikuwa akihusishwa na ma issue ya ki fisadi ambayo hadi leo hayajapatiwa majibu pamoja na mahakama ya mafisadi kufunguliwa.

Sasa leo hii mzee manywele kaamua kumfuata mzee Dr slaa huko huko aliko,hahahaha patamu hapa.


Je kwa kitendo hiki cha mzee manywele kumfuata mzee slaa ccm ,slaa atachukua uamuzi gani?

Kama kweli mzee slaa ni mzalendo ni basi afanye maamuzi magumu yakurudi cdm kwani mbaya wake karudi ccm

Tofauti na hapo wananchi hawatamuelewa kabisa Dr slaa.

Sent using Jamii Forums mobile app


Naona unaamua kujificha kwa Dr. slaa kama kifuta aibu cha EL kwenda tena CCM

slaa aliishakubali kuwa CCM pamoja na mabaya yote ya CCM ambayo aliyahubiri

kuna mafisadi wengi zaidi CCM na alienda huko kwa sababu ALIKUWA MGOMBEA HALALI WA AWALI WA CDM kabla ya kubadili ile gia. Slaa angekaa na Lowassa CDM kama angegombea yeye

swali lako ni irrelavant

uliza CDM bila EL, uliza impact ya lissu ughaibuni. sio kuuliza maswali ya kitoto
 
Mimi naona Kilichomleta CHADEMA ni tamaa ya madaraka na sio uwanachama!..

Sasa kaona CHADEMA kuna vijana wenye nguvu na 2020 hana nguvu za kupimana nao ubavu bora arudi ccm ya wanyonge.. na huu ndio mwisho wake kisiasa!


Huko alikorudi ndio kaenda jimalizia mbali.

Kishindo cha ujio WA lissu Tanzania ni zaidi ya ugonjwa kwa asiejua maana ya siasa..

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni salama zaidi kwake kuwa CCM Kwa Sasa.Ameshasoma kuwa CCM ni ukoo wa Panya hakuna CCM ya zamani Wala mpya CCM ni ile ile karudi kula pensheni yake Kwa amani Bila bughudha na kuendelea na biashara zake pamoja na akina Rostam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah yaani siasa za nchi hii aki vile kama kuna muda una stress unaweza cheka hata pekeako,.

Naona walimu wamekumbukwa ili wakasaidie kampeni,.baada ya hapo watarudi kuwakagua vyeti feki ili wawapunguze tena...only in Tanzania,.
Yaani ni shida only in Tanzania kweli...
Punde Rostam Aziz atanunua korosho mbovu za wana mtwara wakisema serikali imepata soko la korosho mbovu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama jinsi wote tunavyokumbuka mshike mshike kati ya lowasa na Dr slaa kipindi cha 2015 .

Hawa watu walikuwa ni sawa panya na nyau ndani ya nyumba.

Dr slaa alikuwa haungani na cdm kumkaribisha manywele chamani na ndio akachukua uamuzi wa kukaa kando na siasa.

Kwani mzee manywele alikuwa akihusishwa na ma issue ya ki fisadi ambayo hadi leo hayajapatiwa majibu pamoja na mahakama ya mafisadi kufunguliwa.

Sasa leo hii mzee manywele kaamua kumfuata mzee Dr slaa huko huko aliko,hahahaha patamu hapa.


Je kwa kitendo hiki cha mzee manywele kumfuata mzee slaa ccm ,slaa atachukua uamuzi gani?

Kama kweli mzee slaa ni mzalendo ni basi afanye maamuzi magumu yakurudi cdm kwani mbaya wake karudi ccm

Tofauti na hapo wananchi hawatamuelewa kabisa Dr slaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lowassa na Dr Slaa wote ni kama wameshastaafu kwenye harakati za siasa. Hawagombei tena uongozi wowote kwa hiyo hakuna mkwaruzano wowote.
 
Hili swali hata mimi linanipa wakati mgumu sana.

Wanasiasa wote wanafik, wapo kwa maslahi yao binafsi na si maslahi ya wananchi kama tunavyojitahidi kuamini.

Watanzania, tusiuane na kujiumiza kwa kushawishiwa na viongozi wa siasa au eti kwa mapenzi ya chama. Hili ni fundisho kubwa sana.
Bibi nakuona ukitema madini hapa, naomba nikuulize ni lini Lowassa alihama CCM?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alijisema Zitto Junior tusome kitabu cha 48 LAWS OF POWER ukikisoma ukakielewa hivi vitu havitakuumiza akili kabisa. Hata huyo anae pepeta mdomo wake UGHAIBUNI hana jipya. Mabadiliko yanaanzia katika ubongo wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🤣🤣🤣🙏🗣Yani nimefurahi hadi basi.Iko hivi:

"Wakati Rais magufuri akijinasibu kupambana na ufisadi alituhumu CHADEMA kupokea fisadi na akasema mafisadi yanakimbia ccm yanaenda upinzani" Badae pale UDSM akamuagiza apeleke ujumbe chadema kwamba wambie wenzako wasipofuata Sheria wataishia jela😆"

Sasa nimefurahi sababu fisadi waliesema amekimbilia chadema karudi nyumbani kwao alikolelewa na kufundishwa lakini mwisho amekimbia jela😂😂This side is 4 men ,boys will run away.
Kifupi mzee malengo hayajatimia na mbele kaona giza kwa siasa za Sasa ziwahitaji akina Lisu,Zitto,Heche,Sugu,Mbowe,Mdee, na wengine waliojikana kutetetea haki hata ukiwawekea pisto kichwani tumtakie heri mzee Lowasa ni wakati wa Ccm kufuta matusi na kejeli walizotoa dhidi ya Lowasa 😜😜mana Mwali ndo kesharudi ndani kwao Kwahiyo ile harufu mlioishikia pua Sasa ni kuachia pua imegeuka kua nzuri.

Kifupi Lowasa amewini game nani wa kumvika kengere🤣🤣🤣🙏


Siame GK.
 
1.Kabla ya mwezi huu kuisha Mkwewe na Lowasa Sioi sumari kufutiwa kesi ya mara moja kwani muendesha mashitaka hatakuwa na nia ya kuendelea na kesi.

2.Rostam Kurudi kuwa active kwenye mikataba ya kibiashara

3.Lowassa kuteuliwa kama sio ubalozi basi ukuu wa bodi nyeti hususan Korosho .

4.Bashite ni moja ya watu ambao hii ni bad news kwake,atawaonesha kipaji chake cha kipekee hapa mtarajie kuanza kumuita lowassa baba yake.

Je wewe unayepi ?
 
Dah! Inawekana ni Kweli humo ndani kunafuka moshi! Kama jiwe atawatumia hawa ajue kajikaanga kwa mafuta yake, yatarudi tena yale ya jk.
 
Natarajia Vijana wa Uvccm kuitisha press na kusema yafuatayo
1: Lowassa sio mgonjwa tena
2: sio jizi
3: sio muhujumu uchumi
Lakini pia natarajia
1: Dr. Slaa kujiudhuru ubalozi
2: prof. Lipumba na Maalim seif kuanza kushirikiana
Na hatimae pia
1: imani ya chadema kwa Sumaye kushuka
Mwisho kabisa
1: Lissu kugombea urais 2020


Sent using Jamii Forums mobile app

Mbona hapo Hamna Jipya Mkuu!!

Kablaya ya 2015 Chadema walisema:

• LOWASA JIZI
• LOWASA FISADI


2015 Lowasa baada ya Kujiunga Chadema;

• LOWASA SIO MWIZI
• LOWASA SIO FISADI
• LOWASA KASINGIZIWA
• LOWASA NDIYE RAISI
• CHAGUA LOWASA


Kwahiyo watakachosema CCM kuhusu Lowassa musiwalaumu kwani hata Chadema Walisema na Kumsifia Kwa Kumvua Ufisadi.

Musiwe wepesi wa Kusahau
 
Back
Top Bottom