squirtinator
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 2,765
- 4,182
Busy anapanga mikakati si ajabu hata huu wa prodigal son ameuratibu[emoji1][emoji1][emoji1]Wapi alipo Benard Membe
Tunaangalia na anae hama ana nini??tukisikia tundu anahama kweli tunaweza kumkatia hata rufaa kwa lazima(teh teh)..ila hata muhame woootee wakibaki wa3 tuu wenye ubora inatosha kabisaa kuwajambisha,.😝😝😝Pengo lipo siunajua watanzania bendera tunafata upepo nasie tunahama
Sent using Jamii Forums mobile app
Tru DATKwa kweli, watu wameshasahau ya Ruge kabla hajazikwa.
Lowassa ana roho mbaya sana na kafanya makusudi ili kupunguza majadiliano mitaani, angetangaza hii siku ambayo hamna tukio lingine ishu ingejadiliwa hadi kwenye masomo ya hisabati shule ya msingi.
Ukweli hapa losers ni upinzani, ccm wana dola tayari hawana cha kupoteza. Upinzani haswa chadema wana kazi ya ziada kugeuza treni.
Gwajima na Kakobe na wachungaji na maaskofu huko waliko na yale maombi waliyoporomosha siku Lowassa anatambulishwa mgombea uraisi sijui huko waliko wanajisikiaje kuombea mgombea hewa wa CCM aliyekuwa chadema hadi kunena kwa lugha kuombea mgombea hewa!!!Kilichotokea kwa lowassa ni ubinafsi,tena wa hali ya juu sana,Jinsi watanzania walivyompigania kwa kweli inauma sana.Ile imani ya kuwa na upinzani imara inaitaji manabii,chadema chaliiii,Aya mzee slaa alioji "lowassa ni asset or liability".......chadema walikiamishia choo sebuleni,sasa ccm wamekirudisha sehemu yake.This is tanganyika