Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Kwa kweli, watu wameshasahau ya Ruge kabla hajazikwa.
Lowassa ana roho mbaya sana na kafanya makusudi ili kupunguza majadiliano mitaani, angetangaza hii siku ambayo hamna tukio lingine ishu ingejadiliwa hadi kwenye masomo ya hisabati shule ya msingi.
 
upinzani hawawezi kuongoza nchi hata kama Trump akisema iwe
 
Chadema mkitaka mchukue nchi n lazima muwe na technique za magaidi kama kina alshabab Safu ya uongozi mnatakiwa muweke watu KUFA KUPONA ni CHADEMA sio kukurupuka tuuu...na jinsi mlivyo hamna msimamo Leo hii JIWE akisema anakuja Chadema mtampokea na 2020 mtamsimamisha agombeee..POOR YOU.
 
Kuna Watu wata kimbia Vivuli vyao ,hiyo ndio Hasara ya kuropoka kama Masikini alie pata ...tak..hulia ..aa.Tuwe na Akiba ya Maneno Maisha haya kamiliki kwa Siku moja tu.
 
Kilichotokea kwa lowassa ni ubinafsi,tena wa hali ya juu sana,Jinsi watanzania walivyompigania kwa kweli inauma sana.Ile imani ya kuwa na upinzani imara inaitaji manabii,chadema chaliiii,Aya mzee slaa alioji "lowassa ni asset or liability".......chadema walikiamishia choo sebuleni,sasa ccm wamekirudisha sehemu yake.This is tanganyika
Gwajima na Kakobe na wachungaji na maaskofu huko waliko na yale maombi waliyoporomosha siku Lowassa anatambulishwa mgombea uraisi sijui huko waliko wanajisikiaje kuombea mgombea hewa wa CCM aliyekuwa chadema hadi kunena kwa lugha kuombea mgombea hewa!!!
 
Back
Top Bottom