Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Pongezi kwa watanzania weledi ...!
Slogan ya Magufuli ilikuwa ni hapakazi tu na Slogan ya lowassa ilikuwa mabadiliko.

Leo hii ni muungano mtakatifu kwa ajili ya maendeleo.

Wafuasi wa Team zote mbili tutaombana radhi na sasa tujikite katika kuijenga Tanzania ya Kazi na yenye kubadilika.

Karibu tena Mheshimiwa lowassa.
 
Chadema na CCM watabadilishana chorus, simple na maisha yanaendelea.

Halafu wewe si ulituambia ana ugonjwa wa kujinyea, nafikiri kuanzia leo atapona hahaa.
 
Anarudi ili iweje? Hili ndilo swali ambalo ningependa kujua jibu lake!.
Hivi Dr Mihogo naye anaweza kuamua kurudi na akapokelewa kwa shangwe?
 
Kuwa raia ni mtihani kama hamnazo kichwani..Wanasiasa wanajuana wao kwa wao..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…