Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Wengine tulishasema zamani huyu mzee ana options mbili tu: kuacha siasa au kurudi CCM na hili la kurudi CCm ni nzuri zaidi kwake sababu itamtoa Sioi (mkwe wake) na kitilya washirika wake wa karibu mahabusu. Politicians are never to be trusted!
 
Jiwe alituaminisha kwamba mafisadi walikimbilia CHADEMA kumkwepa yeye, na ghafla CHADEMA iligeuka kuwa cha mafisadi, sasa wanarudi walikotoka na wanapokelewa kwa Shangwe, hakika Lowassa ameshinda, maana hakuna Chama tena kati ya CHADEMA na CCM chenye uhalali wa kumuita Lowassa fisadi, na hata wale wanajinadi kila siku wanapigana na ufisadi ni bora kuanzia leo wakae kimya. Dr Slaa choo ulichokikimbia kimerudi tena upande uliopo, maana ulituambia CHADEMA wameleta choo chumbani, sasa sijui kama utakimbia ama utavumilia tena hiyo harufu. Yote ya yote naiona CHADEMA asilia inarejea, japo kuna mambo mengi inabidi wajifunze.#Lissu 2020#

Sent using Jamii Forums mobile app
 
List of shame to be released again by UKAWA Lowassa will be among of them.I pose my prediction.
 
Huwa nawahurumia sana wafia siasa na vyama, ni upumbavu mwingine wa kiwango kikubwa. Eti great thinkers wapo siasani, wanalishana matangopori ya akina Lowasa, Membe, Lissu na mzee baba.

Futseke!!!!
 
Wako wapi waliosema Lowassa ameinunua Chadema ??..
Asante Edo kwa kurudi kwenu Ccm ..acha Walioijenga Chadema waendelee kupambana.
 
Ukweli mtu anapoongezeka umri wengi hujawa na hofu sana. Huyu mzee namuona anadhalilika ingawaje wengi wanamuona ni hero lakini kiuhalisia he is a liability not an asset.
Kikubwa kinachomsumbua mzee ni njaa ingawaje wengi huenda wasijue hili. Ukizoea kula na kuishi kupitia siasa ni shida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lowasa anatambua vyema Kwamba Tanzania ni mali ya Ccm. Hana chaguo jingine
 
Back
Top Bottom