Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Wimbo ulianza kwa chadema, hakuna kupinga. Kila pembe ilikuwa ni "Lowassa fisadi, Lowassa fisadi" alipokosa kuteuliwa kuwania urais wa tiketi CCM akajitoa CCM na kuhamia chadema, akapewa nafasi ya kugombea urais kwa tiketi ya chadema, ghafla chorus ya "Lowassa fisadi, Lowassa fisadi" ikawa inaimbwa na wana CCM.

Sasa karudi CCM nani ataiimba chorus hiyo?

Siasa ni mchezo mbaya sana.
Hii chorus itabadilika baadhi ya maeneo mana sasa kuna kubwa lao la ufisadi ambalo kwa mwaka linapiga 1.5t, tena yeye anapiga direct kutoka kwenye azina..
Ila

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati mwengine nadhani inafaa mtu ukaamua kujiweka mbali na jambo fulani ambalo kwa muda mrefu ulilitumikia/lilikutumikisha.

Kwa umri wa huyu faza ilikuwa heri kwake atangaze kukaa pembeni na kuachana na huu mchezo wa siasa unaopasua kichwa especially kwa Tanzania ya sasa.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
sasa kuna watu wanamwona ni asset kwenye harakati zao!.......


mimi na wewe tunamtazama lowassa as an individual, ila wenzetu wanamtazama lowassa kama taasisi.........

bado ana ushawishi huyu mzee, ndipo unamwona rostam nae akiwa mbele ya kamera za ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kurudi kwa Lowassa CCM si kwa bahati mbaya.Amekwama alikokuwa.Hana haiba nako na ndio maana ameamua kurudi kwenye mizimu yake
IMG-20190301-WA0085.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na mkataa shetani na kazi zake zote / futa jina langu kwenye kitabu cha hukumu......huwa ni kiapo kikubwa saana kwenye imani ya kikristo. Baadae yale yale aliyo kataa hurudia.
SIO AJABU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hajui hata tarehe ya kufanya tukio.
Wiki hii ni wiki ya Ruge .angeisogeza mbele kidogo kupata headlines za kufunika dola.
Na yeye amechagua hii siku makusudi ili wengi tusikie tu Kama rumours Kama Mzee karudi maana anajua heshima aliyopata kutoka upande huu,nafsi upande inamshtki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dr. Slaa ata akirudi chadema atakua ajapoteza chochote maana alichokitabili kimetokea wakupiga viboko vya matako mpaka yachanike ni mbowe na genge lake ambao walitembea kutwa nzima kamasi zikiwachuruzika kumsafisha lowasa matokeo yake chama kimekua dhaifu
 
Makamanda au nyumbu kwa jina lingine,huwa hawawazi nje ya box hata utikise kama vichwa vyao.
 
Mabadiliko haya ni kumnusuru mkwewe Lowasa -SIOI SUMARI , unbailable offence of money laundering, mtu akikuahidi kuwa nitafuta kesi, if it were you, what will be your option!?
Mkuu, umemaliza kazi. Siongezi nukta. Wajinga na wapumbavu hawataelewa.
 
Hata hamu ya kula inakata.
Tutafika kweli?
Hizo ndio siasa.Watu walipoteza pesa,kazi , biashara nk mchezo wa ngumi roundi ya kwanza ilikuwa 2915 tukutane 2020 usichoke karibu kwenye ulingo wa ngumi za siasa round ya pili 2020 kati ya CCM na Upinzani Usivue gloves tukutane 2020 round ya pili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Linalofuata ni kumwachia SIOI SUMARI . Nadhani Losawa ana sababu ya msingi , na ndiyo hiyo! vinginevyo asingelirudi!
Point. Umemwona Rostam Aziz hapo kando??? Mdogo wake alitolewa jela/mahabusu baada ya kuonana na jiwe hatimaye alililpa (how much)???
 
Haya sasa ile mahakama ya mafisadi mpelekeni Lowasa huko

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
Chadema walishamtakasa lowassa hadi list of shame waliifuta ....CCM wamemrejesha baada ya utakaso.
Huu ni mwezi wa kwaresma

Je dr slaa atarudi chadema mana alienda ccm kisa lowassa awez kaa na fisadi sasa amerudi tena ccm cjui itakuaje


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hiki ni kipindi cha kua na akiba ya maneno, wana chedama inabidi muonyeshe demokrasia mnayoipigania sio muda wa kumkashifu, kumbeza, kumtukana wala kumdhalilisha mzee wa watu.
kwa mazingira ya sasa kuunga mkono juhudi ni jambo la kawaida.

Maendeleo hayana chama
Tumekusikia sisi tunaendelea kupambana
 
Back
Top Bottom