Stanley Mitchell II
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 970
- 1,323
Itakua Ngoyai alikua na bifu na huyo Muhaya ndo mana leo kampiga counter attack moja kali sana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii chorus itabadilika baadhi ya maeneo mana sasa kuna kubwa lao la ufisadi ambalo kwa mwaka linapiga 1.5t, tena yeye anapiga direct kutoka kwenye azina..Wimbo ulianza kwa chadema, hakuna kupinga. Kila pembe ilikuwa ni "Lowassa fisadi, Lowassa fisadi" alipokosa kuteuliwa kuwania urais wa tiketi CCM akajitoa CCM na kuhamia chadema, akapewa nafasi ya kugombea urais kwa tiketi ya chadema, ghafla chorus ya "Lowassa fisadi, Lowassa fisadi" ikawa inaimbwa na wana CCM.
Sasa karudi CCM nani ataiimba chorus hiyo?
Siasa ni mchezo mbaya sana.
sasa kuna watu wanamwona ni asset kwenye harakati zao!.......Wakati mwengine nadhani inafaa mtu ukaamua kujiweka mbali na jambo fulani ambalo kwa muda mrefu ulilitumikia/lilikutumikisha.
Kwa umri wa huyu faza ilikuwa heri kwake atangaze kukaa pembeni na kuachana na huu mchezo wa siasa unaopasua kichwa especially kwa Tanzania ya sasa.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Na yeye amechagua hii siku makusudi ili wengi tusikie tu Kama rumours Kama Mzee karudi maana anajua heshima aliyopata kutoka upande huu,nafsi upande inamshtkiHajui hata tarehe ya kufanya tukio.
Wiki hii ni wiki ya Ruge .angeisogeza mbele kidogo kupata headlines za kufunika dola.
Yani Ile clip yake sijui nimeisave wapi jamanii,.ningekuwekea hapa uione kwa sekunde 60 ujichekee na ww,..Hahaha usipokuwa mjanja mjanja au mfiti siasani utapata tabu sana,bwege alisema vip mama!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, umemaliza kazi. Siongezi nukta. Wajinga na wapumbavu hawataelewa.Mabadiliko haya ni kumnusuru mkwewe Lowasa -SIOI SUMARI , unbailable offence of money laundering, mtu akikuahidi kuwa nitafuta kesi, if it were you, what will be your option!?
Hizo ndio siasa.Watu walipoteza pesa,kazi , biashara nk mchezo wa ngumi roundi ya kwanza ilikuwa 2915 tukutane 2020 usichoke karibu kwenye ulingo wa ngumi za siasa round ya pili 2020 kati ya CCM na Upinzani Usivue gloves tukutane 2020 round ya pili
Point. Umemwona Rostam Aziz hapo kando??? Mdogo wake alitolewa jela/mahabusu baada ya kuonana na jiwe hatimaye alililpa (how much)???Linalofuata ni kumwachia SIOI SUMARI . Nadhani Losawa ana sababu ya msingi , na ndiyo hiyo! vinginevyo asingelirudi!
Money is power.Viongozi wangu wa Chadema intelejensia yetu ilikomea kufanya kazi kwa Zitto pekee
Chadema walishamtakasa lowassa hadi list of shame waliifuta ....CCM wamemrejesha baada ya utakaso.
Huu ni mwezi wa kwaresma
Tumekusikia sisi tunaendelea kupambanaHiki ni kipindi cha kua na akiba ya maneno, wana chedama inabidi muonyeshe demokrasia mnayoipigania sio muda wa kumkashifu, kumbeza, kumtukana wala kumdhalilisha mzee wa watu.
kwa mazingira ya sasa kuunga mkono juhudi ni jambo la kawaida.
Maendeleo hayana chama