MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,727
- 6,615
Mrembo kwanini unajichosha na siasa? Njoo tufanye vitu vingine...Hahahah yaani siasa za nchi hii aki vile kama kuna muda una stress unaweza cheka hata pekeako,.
Naona walimu wamekumbukwa ili wakasaidie kampeni,.baada ya hapo watarudi kuwakagua vyeti feki ili wawapunguze tena...only in Tanzania,.
Yaani Jiwe kaamua kuwakomoa wale wote walio mkashifuNjaa mbaya sana
Sent from my Iphone using Tapatalk
No sane person will like the look of it after hindsight. But in fact many are liking it now in poor insight.Not to me. Shows there's no substance there. A self respecting, principaled soul would at least recognise it's a bad look it is and quietly reposition. Those visuals are for the ages.
Sent using Jamii Forums mobile app
He heee heee heeee nicheke tu aseeeePongezi kwa watanzania weledi ...!
Slogan ya Magufuli ilikuwa ni hapakazi tu na Slogan ya lowassa ilikuwa mabadiliko.
Leo hii ni muungano mtakatifu kwa ajili ya maendeleo.
Wafuasi wa Team zote mbili tutaombana radhi na sasa tujikite katika kuijenga Tanzania ya Kazi na yenye kubadilika.
Karibu tena Mheshimiwa lowassa.
Mkuu nimeona Yehodaya kalike hapo kumbe moyo wake upo CDM ila ni njaa tu zinamsumbua kushabikia mafisi...Kula tano mwanangu.
Chama kinachotegemea rejects kutoka kwingine hata Lisu anaweza kufa na ndoto ya kugombea,Membe anakuja huko jiandaeni kudeki barabara
Kwa kweli ametupatia mtihani mgumu ambao tutafaulu kufeli, maana hatujui tufanye Nini na tuwaambie Nini wale tulionena maneno haya mbele yao.
Eeeee Mungu turuhumie, sisi ni wanasiasa
Mamvi ana ushawishi gani? Kipindi cha kampeni alikuwa akishosha anasimama dakika kachoka.Magu atashinda mapema sana. Lisu hana ushawishi na upinzan sana kwa CCM. Wala hataweza pata watu wengi kama Mamvi na Dr Slaa