Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Hahahah yaani siasa za nchi hii aki vile kama kuna muda una stress unaweza cheka hata pekeako,.

Naona walimu wamekumbukwa ili wakasaidie kampeni,.baada ya hapo watarudi kuwakagua vyeti feki ili wawapunguze tena...only in Tanzania,.
Mrembo kwanini unajichosha na siasa? Njoo tufanye vitu vingine...
 
Siasa bora uwe kama refa tu

[emoji375][emoji375]
 
Not to me. Shows there's no substance there. A self respecting, principaled soul would at least recognise it's a bad look it is and quietly reposition. Those visuals are for the ages.

Sent using Jamii Forums mobile app
No sane person will like the look of it after hindsight. But in fact many are liking it now in poor insight.
 
Innocent until proven guilty ndio principal ya kutumia dhidi ya Lowassa.

Ingawa ktk siasa only slight doubt inatosha kukuondolea political legitimacy.

Sasa akae atulie kama mwananchi was kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pongezi kwa watanzania weledi ...!
Slogan ya Magufuli ilikuwa ni hapakazi tu na Slogan ya lowassa ilikuwa mabadiliko.

Leo hii ni muungano mtakatifu kwa ajili ya maendeleo.

Wafuasi wa Team zote mbili tutaombana radhi na sasa tujikite katika kuijenga Tanzania ya Kazi na yenye kubadilika.

Karibu tena Mheshimiwa lowassa.
He heee heee heeee nicheke tu aseeee
 
Nakuona upo kazini
Chama kinachotegemea rejects kutoka kwingine hata Lisu anaweza kufa na ndoto ya kugombea,Membe anakuja huko jiandaeni kudeki barabara
tapatalk_1549972891359.jpeg


In God we Trust
 
Kuna watu hii tanzania wanapata tabu sana. Sjui sasa hv wapo upande gan

[emoji375][emoji375]
 
Tangu 2015 baada ya uchaguzi na jinzi lowassa alivyoyapokea matokeo niliona kabisa hii ni game tumechezewa..


Namtakia kila la heri akaungane na wachimia tumbo wenzake huko!

Young kilimanjaro
 
Kwa kweli ametupatia mtihani mgumu ambao tutafaulu kufeli, maana hatujui tufanye Nini na tuwaambie Nini wale tulionena maneno haya mbele yao.

Eeeee Mungu turuhumie, sisi ni wanasiasa

Mkimbie tena CCM kwa kuwa nyie imani yenu ni watu na si itikadi.
 
Magu atashinda mapema sana. Lisu hana ushawishi na upinzan sana kwa CCM. Wala hataweza pata watu wengi kama Mamvi na Dr Slaa
Mamvi ana ushawishi gani? Kipindi cha kampeni alikuwa akishosha anasimama dakika kachoka.
 
Back
Top Bottom