Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na huo ndiyo ukweli, msibani stori itakuwa 1 Lowasa,Huko msibani story itakuwa Lowasa tu
Tofauti na ambapo angefanya bila kuwa na tukio la kukutanisha watu
Tuambie lowassa ni asset au liability kwa sasa hapo lumumba?Alikata kadi ya CCM akiwa sekondari na anayo hadi leo!.... Hata ya Ncvr bado anayo!
Karibu wana mtandao hii kitu Jom anaijuakuunganisha nguvu kupambana na Membe labda, maana huyo 'jasusi' mambo yake sio ya mchezo inawezekana, yeye ame 'chill' tu huko Lindi wakati huku town dk. Bashiru analialia majukwaani kuwa jamaa anamhujumu JPM! ni matumaini yangu JPM hajapoteza support ya Ben na mzee wa msoga, hao wazee waki 'team-up' 2020 patawaka moto.
Aache ubalozi?Dr Slaa itabidi arudi CHADEMA sasa,maana "Fisadi" amerudi kwenye zizi lake
Bwege,bwege kweli...hahahaa
Hahaha upuuzi mtupu,.huoni hata aibu kusema hivyo??yaani kabisaaa unajisifia ujinga???chaaa!!!
Hongera mke wa Tundu Lissu naona bado unaitunza kadi yakeAlikata kadi ya CCM akiwa sekondari na anayo hadi leo!.... Hata ya Ncvr bado anayo!
Fisadi lililogombea urais Chadema hadi Chadema ikafuta list of shame! Brother tuliza akili kidogo otherwise uwe unapata ugali Chadema! Kuna tatizo hapo na inabidi kulitatua kupitia ukweli tu! Tusipingane tu bila dira!
Sent using Jamii Forums mobile app
Aache kuku wa ubalozini?Dr Slaa itabidi arudi CHADEMA sasa,maana "Fisadi" amerudi kwenye zizi lake
Niko kwenye game toka 1995 nimepiga kura mara tano na sitachoka hadi mwisho a uhai wanguKabisa mkuu