[emoji23][emoji23][emoji23]haya mzee kaka, ninong'oneze basi!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]hapana ike siirudii tena siwezi kuwa Lowassa au Slaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
liability not assetAisee ! Leo yamekua hayo? Jana alikua na impact leo hana? Pole sana
wanaachiwa kwa NOLLE muda wowote, kuwa DPP hana nia y'a kuendelea na kesi, au wataomba wakumbushwe shtaka, then wanakubari wanapigwa faini habari imekwisha,Baada ya kwenda na kurudi Ikulu ...na kupewa masharti magumu naona leo mzee kaamua"kusurrender"...
Du! Mungu mkubwa. "Tatizo" la CDM limejitatua lenyewe.
Ukaungane na watu wasio na msimamo? Si unaona leo wanavyomtukana Lowasa? Chadema wanaishi kadri upepo unavyovuma!Nimejiuliza tu!
Ni kweli mkuu damu ni nzito kuliko chama wataachiwa na kufutiwa kesi, sishangai nililitegemea ili lakini ameacha mtaji mkubwa. Ninachoshauri wanachadema msimtukane kama ccm walivyomtukana sasa sijui aibu wataziweka wapi?Baada ya kwenda na kurudi Ikulu ...na kupewa masharti magumu naona leo mzee kaamua"kusurrender"...
Tuone sasa kama slaa ataondoka ccm
Changuo gani la mungu, Lissu kwa namna alivyomkosha Lowassa, amepoteza uaminifu, na hastahili wadhifa huo hata kidogo. Hadi lini mtakuwa mnawekwa minadani na kupigwa bei bila ridha yenu.Asitumie siri za Chadema kumkwamisha chaguo la Mungu Tundu Lissu.
Haya basi nakunong'oneza baba mdogo kama hujaelewa tena basi tuachie hapa sitaki kudakwa maana hawa watu wa JF wakidaka ID yako watakugeuza kama niffah au yule Diane Rwigara[emoji23][emoji23][emoji23]haya mzee kaka, ninong'oneze basi!!
Makamanda jiandaeni kisaikolojia hakuna lisilowezekana chini ya jua.
Maendeleo hayana vyama!