BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mi nasubiri kama kweli ataamua kuacha ubalozi???Nimejiuliza tu!
Huu ni muda kwa vyama vya upinzani kuonyesha ukomavu wa kisiasa, pia ni wakati muwafaka kuonyesha demokrasia mnayoipigania.
Maendeleo hayana chama
Nimekusoma kiongozi, kipindi kile utani mwingi na kina bi-dada, teh[emoji23][emoji23][emoji23]Haya basi nakunong'oneza baba mdogo kama hujaelewa tena basi tuachie hapa sitaki kudakwa maana hawa watu wa JF wakidaka ID yako watakugeuza kama niffah au yule Diane Rwigara
Sent using Jamii Forums mobile app
How? Labda yule anaeomba misaada nje ya nchi asomeshewe watoto wake ndio liability , mh. Lowassa ni asset , alipata kura ngapi vile ?liability not asset
Nidhani hakuna sababu ya huyu Jamaa kuongelewa sana. Itoshe fanyeni kama hakikutokea kitu chochote.
Tafuteni habari ingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa katika jambo walilokosea sana ni hilo na ni bora amerudi, tofauti na uchaguzi mkuu sijaona jipya alokuwa naloNilikuwa nikijiuliza Lowassa yuko Chadema ila kimuonekano kama yupo CCM yaani yupo kimya vyama vya upinzani visiludie tena kosa kama hili walitumia nguvu kubwa kumsafisha.
Lowasa karudi CCM. Karibu tena nyumbani Mheshimiwa. CCM hoyeee! Magufuli hoyee,,,,,,,,
— Reginald Mengi (@regmengi) March 1, 2019
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]hapana ike siirudii tena siwezi kuwa Lowassa au Slaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee.Hizi siasa hizi.
Mungu mbariki Lowassa.LOWASA KURUDI CCM
Lowasa kurudi ccm ni ushahidi kuwa ana uchu wa madaraka. Aliondoka ccm kwa kuwa hakupata fursa ya kugombea urais akiwa ccm na alipoona kuna uwezekano wa kugombea kupitia UKAWA, akafanya uamuzi wa kwenda ukawa ili apate fursa hiyo.
Lowassa alitarajia kuwa atapewa nafasi ya kugombea tena urais kwa tiketi ya Chadema lakini siku za karibuni upepo ndani ya Chadema umemgeukia Tundu Lissu kuwa ndiye kipenzi cha wengi kugombea urais wa Tanzania. Baada ya Lowassa kuona hakuna uwezekano wa yeye kugombea tena urais kwa tiketi ya Chadema ameamua kurudi ccm.
Sio kuwa Lowassa akiwa ccm ana uwezekano wa kugombea urais mwaka 2020 lakini kule ccm kuna maslahi na vyeo. Huenda pia Lowassa anawaza miaka saba ijayo wakati JPM anamaliza muda wake. Huenda akajaribu tena karata zake za kugombea urais kwa kupitia ccm
Kuhama kwa Lowassa ni pigo kwa upinzani kwa vile kuna baadhi ya wana Chadema walijiunga na Chadema kwa sababu ya Lowassa lakini pia inaweza kuwa fursa ya Chadema kujipanga upya. Shutuma kuwa Chadema wanapokea mafisadi sasa zitaondoka.
Ni fursa pia kwa chadema maana kama kuna weaknesses zo zote za kurekebisha basi Chadema wasisite. Kwa mfano wahahakikishe mchakato wao wa kuchagua mgombea urais uwe wa wazi kwa kutumia vigezo vinavyojulikana na kukubalika na uwe wa kidemokrasia.
SWISSME
Sio kweli Dr. Slaa alitaka lowassa aje awe Kama mwanachama was kawaida Ila mkakimbilia kumtukana Leo yametimiaTaarifa mbaya sana kwa Dr slaa hizi sijui atahama ccm,ahamie Act alisema hawezi kaa chama kimoja na Lowasa
<blockquote class="twitter-tweet" data-lang="en"><p lang="in" dir="ltr">Lowasa karudi CCM. Karibu tena nyumbani Mheshimiwa. CCM hoyeee! Magufuli hoyee,,,,,,,,</p>— Reginald Mengi (@regmengi) <a href="">March 1, 2019</a></blockquote>
<script async src="https://platform.twitter.com/widgets.js" charset="utf-8"></script>