kivipi fafanua zaidiAlichukua chake mapema...... hata mimi nimeamini ni mzee wa mahesabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kivipi fafanua zaidiAlichukua chake mapema...... hata mimi nimeamini ni mzee wa mahesabu
Ni sawa na kusifia Real Madrid iliyochukua UCL mara tatu mfululizo na kumsahau C. RonaldoBinafsi nasema Lowasa ni noma
Nilijisahau mkuu maana nilikuwa napita huku mara napita twitter na insta kwa wakati mmoja. Sasa ndege mjanja hunaswa kwenye tundu bovu nilinaswa ikabidi nitoweke humu kama alivyofanya NifahKuna kitu/sehemu uliharibu nini kiongozi [emoji23][emoji23][emoji23]
Zingekuwa zaidi, lowasa ndo alifunga mdomo chadema wengi wasiongee hata wakiongea hawajiamini , kumpokea ilikuwa sawa lakini kumpa nafasi kugombea ilikuwa kosa ambalo halitasahaulika na limepotezea chadema sifa nyingi sanaNdio kilichobaki hicho kujipa moyo hivi unafikiri zile kura milioni 6 walizopata chadema 2015 zilikuja kwa lisu na kina mnyika hakika ule kwa asilimia kubwa ni mtaji wa lowasa kiukweli hili ni pigo kwa chadema kilichobaki kujikaza tu kwa maneno kama yako.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
LOWASA KURUDI CCM
Lowasa kurudi ccm ni ushahidi kuwa ana uchu wa madaraka. Aliondoka ccm kwa kuwa hakupata fursa ya kugombea urais akiwa ccm na alipoona kuna uwezekano wa kugombea kupitia UKAWA, akafanya uamuzi wa kwenda ukawa ili apate fursa hiyo.
Lowassa alitarajia kuwa atapewa nafasi ya kugombea tena urais kwa tiketi ya Chadema lakini siku za karibuni upepo ndani ya Chadema umemgeukia Tundu Lissu kuwa ndiye kipenzi cha wengi kugombea urais wa Tanzania. Baada ya Lowassa kuona hakuna uwezekano wa yeye kugombea tena urais kwa tiketi ya Chadema ameamua kurudi ccm.
Sio kuwa Lowassa akiwa ccm ana uwezekano wa kugombea urais mwaka 2020 lakini kule ccm kuna maslahi na vyeo. Huenda pia Lowassa anawaza miaka saba ijayo wakati JPM anamaliza muda wake. Huenda akajaribu tena karata zake za kugombea urais kwa kupitia ccm
Kuhama kwa Lowassa ni pigo kwa upinzani kwa vile kuna baadhi ya wana Chadema walijiunga na Chadema kwa sababu ya Lowassa lakini pia inaweza kuwa fursa ya Chadema kujipanga upya. Shutuma kuwa Chadema wanapokea mafisadi sasa zitaondoka.
Ni fursa pia kwa chadema maana kama kuna weaknesses zo zote za kurekebisha basi Chadema wasisite. Kwa mfano wahahakikishe mchakato wao wa kuchagua mgombea urais uwe wa wazi kwa kutumia vigezo vinavyojulikana na kukubalika na uwe wa kidemokrasia.
SWISSME
Lissu hata haamini akiambiwa kapata kura laki 3Asitumie siri za Chadema kumkwamisha chaguo la Mungu Tundu Lissu.
wanaachiwa kwa NOLLE muda wowote, kuwa DPP hana nia y'a kuendelea na kesi, au wataomba wakumbushwe shtaka, then wanakubari wanapigwa faini habari imekwisha,
LOWASA amejishushia heshima, ni bora angestaafu siasa tu yule baba
Huyu mtu hakuwa kuipenda Ukawa.Kweli kabisa katika jambo walilokosea sana ni hilo na ni bora amerudi, tofauti na uchaguzi mkuu sijaona jipya alokuwa nalo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umeeleweka vilivyoUmenena umemaliza,Lowasa kasoma upepo upinzani hawezi simama, heri alinde mali na soon mkwe atatoka maisha yaendelee, ni shinikizo LA mda mrefu,anaeweza kupambana na Iisu ni lowasa au Membe 2020 ili chama kisife, ccm iwatumie hao wanakubalika kote kote ccm na upinzani. Huyu ccm mpya hana Kazi ngumu sana kupenya kupambana na Lisu maana kavuruga si mjini si vijijini hauziki zaidi kwa wachumia tumbo na wenye nasaba kama zake.Hoja anazozitegemea ni SGR, bomberdia na stirls goerg ambapo kwa layerman ni msamiati mkubwa ukimwambia SGR,bombardia atadhani ni majina ya Dawa.Lowasa Membe wana nyota za pesa ndani ya mwaka tu nchi itajaa pesa,Lowasa aliinua elimu hii iliyokufa.
Pole sana mkuu, ni vizuri kuwa makini. Nani anataka 36 bullets mkuu...Nilijisahau mkuu maana nilikuwa napita huku mara napita twitter na insta kwa wakati mmoja. Sasa ndege mjanja hunaswa kwenye tundu bovu nilinaswa ikabidi nitoweke humu kama alivyofanya Nifah
Sent using Jamii Forums mobile app
Mlimmiss fisadi?[emoji2297][emoji2297]Kweli uzee dawa . Mzee amefanya jambo la kutukuka . Niliisha sema atakae baki CHADEMA apimwe akili kama ziko sawa . Tulikumiss mzee
Sio kweli Dr. Slaa alitaka lowassa aje awe Kama mwanachama was kawaida Ila mkakimbilia kumtukana Leo yametimia