Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Walishamtangulia kurudi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni naona hili la Lowassa na Mbowe ni timing na planned mission kusahaulisha watu.

No one will talk of those serious issues concerning our economy.
And thats where we stuck as a Nation.
Masteminded!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hakuna mtu ndani ya CCM anaweza kujaribu tu kutaka kushindana na JPM. Wapinzani waliozoea siasa nyepesi wote watahama ni muda tu.
 
Fisadi gamba laamua kurudi kwa magamba wenzie ili nalo likaibe tena maana mlango wa hazina uko wazi kabisa. Kwa wanasiasa Malaya/changudoa kama hawa wanaojali matumbo yao Watanzania tutayasubiri sana maendeleo ya kweli.
Mlitaka kulipeleka Ikulu fisadi?

Huu upumbavu utaukuta chadema tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ya kweli hayo ati Cheers Makamanda, Yeah guys today am happy....!!. Au kwa kuwa wewe hauko katika safu ya uongozi ndiyo umekuja na hoja hizo mufu!

Je, unaweza kubashiri athari gani CHADEMA na uongozi mzima utaupata kwa Lowassa kurudi CCM wakati Chaguzi za Kitaifa ziko mlangoni? Au naye kanunuliwa?

Naamini uongozi wa CHADEMA uko na wasiwasi kuhusu kujulikana kwa mipango yao ya kuihujumu Serikali ili isifanikiwe katika vita ya kiuchumi na vita nyingine za kuleta maendeleo ya watu na nchi.

YETU MASIKIO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"CCM sio mama yangu wala baba yangu"

Watakaohudhuria mikutano ya kampeni za upinzani mwaka 2020 inabidi wapimwe marinda.Mimi mwaka 2020 siku ya uchaguzi nitakuwa nampa mke wangu haki yake ya ndoa na kama atakuwa kwenye siku zake basi nitahakikisha mche wa sabuni ya JAMAA unaisha pamoja na maji Simtank la lita 5000
 
Ccm nadhani bado wana miaka 100 ya kutawala Tanzania maana wanajua saana kucheza na wapinzani aise

Naanza kuamini kuna mpango kabambe wa kuhakikisha hakuna mbunge wa upinzani kurudi bungeni

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Ameona isiwe noma. Kamwachia yule mlemavu aliyetangazia dunia nzima nia yake ya kugombea uraisi 2020 kwa ticket ya chadema. Atanyolewa bila maji!!!
 
WAKUU NATAFUTA UZI WA RUGE. SIUONI NISAIDIENI. PAGE ZOTE KARIBU NI LOWASSA! LOWASSA!
 
Ndio mkaona muyapokee muyape Ikulu kabisa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…