Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Nimekumbuka Yale maneno ya wilbrod slaa "Je lowasa ni asset au liability"
 
Wabunge wa upinzani wakiisha bungeni ndiyo tutapata maendeleo?
Ccm nadhani bado wana miaka 100 ya kutawala Tanzania maana wanajua saana kucheza na wapinzani aise

Naanza kuamini kuna mpango kabambe wa kuhakikisha hakuna mbunge wa upinzani kurudi bungeni

Sent using my iPhone using jamiiforum app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmelipokea fisadi tena au sio fisadi kama mlivyosema

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani alivokuwa upinzani ule ufosadi ulopigiwa kelele bungeni ulifutika?

Mi nloshangaa kuona Lowassa kakubaliwa CDM chama ambacho kinajinasibu kupigania wananchi dhidi ya mafisadi na wala rushwa!

Mpaka sasa ivi kuna watu wanaamini eti CDM akioata nchi atajali wananchi.... amkeni jamani 😀
 
Dr slaa naona Leo anacheka kweli asset au liability majibu yameonekana Leo .
Behind the scene:Filamu ya Titanic ilitengenezwa vipi? Hi siasa yetu ni zaidi ya mambo ya Hollywood,Marvel Studios na wenzao..Sieraia tuna Kazi.. Nimerudi Nyumbani,JF oyee..
 
Waacheni wafu wawazike wafu wenzao
 
Ongezea je CHADEMA watabadilisha kauli zao kuhusu Rowasa na kurudi ktk harakati zile za ufisadi ? Manake Lowasa aliwageuza kama madodoki.
 
Na kama ndio mpango wenyewe huo?
Swali hivi mwanasiasa, mwandishi wa habari, dalali na mfanyakazi wa bank yupi ana ahueni
Naona bora hao wengine kidogo ingawa wote sio wa kuwaamini


Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…