Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Mimi nahisi kama kuna kamari imechezeka hapa.
 
Siasa hazitabiliki sio vya kushangaa,MBONA Mugabe anasapoti upinzani hali ye ndie aliyetunga Sera za kubinya upinzani. Si ajabu mbeleni jp akawa MWALIMU mzuri sana wa kufundisha demokrasia. Hata speech nzuri nyingi za Nyerere ni baada ya kustaafu.
 
Mkuu wenye uelewa ndani ya Chadema wanasema 'finally ameondoka'
Amevunjwa yule aliyebadilisha gear angani
 
Ccm nadhani bado wana miaka 100 ya kutawala Tanzania maana wanajua saana kucheza na wapinzani aise

Naanza kuamini kuna mpango kabambe wa kuhakikisha hakuna mbunge wa upinzani kurudi bungeni

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Then wasiporudi bungeni wewe na jamii yako mtapata maendeleo gani??
 

Lowassa kurudi ccm ni sawa na mshale kwenda porini sio umepotea bali umerudi nyumbani. Na kwa cdm kuondoka kwa Lowassa ni kuvuja kwa pakacha. Kwa taarifa yako Lowassa hajawahi kuwa msaada wowote ndani ya cdm na asingekaa awe msaada wowote, kwani hakuna mabadiliko yanayoletwa na mzee dunia hii. Ccm ndio wanajidanganya wakidhani Lowassa alikuwa muhimu ndani ya cdm. Ukweli ni kuwa kura alizozipata Lowassa ndani ya cdm hata asingekuja zingepatikana na haiba ya cdm ingebaki. Katika hili viongozi wa cdm ndio wakulaumiwa kwa kumpokea Lowassa. Kwa sasa cdm itapata muda wa kujipanga upya kwani kirusi kimeondoka.
 
Comment ya kisingeli na kitoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna haja ya kuukimbia ukweli, mzee wa watu kafilisiwa vya kutosha kisabet watanzania ( maboya ). Mi namuunga mkono kuhamia kule ili maisha yake yaendelee. Najua kabisa hajarudi kwa mapenzi yake bali kuna kitu binafsi kimemrudisha MCC.
NAMPA PONGEZI KWA UVUMILIVU ALIOUONYESHA.
Ila LISSU nae kachangia kwa namna nyingine
Cjalalamika wala silaumu mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…