Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Leo babangu kaona chozi langu[emoji23][emoji23]later akasema huyo ndo ashajimaliza kisiasa nijajihis nimekiwa mwepesi..nyoko sana..bora aende
Hapana manengelo usimlaumu mzee Lowasa hata kidogo, laiti ingewezekana kufungua yaliyo nyuma ya pazia ungemhurumia mzee wa watu, siasa za afrika ni ngumu sana hususani kwa mtu mzima kama mzee Edo ambae hata hali yake ya afya haiko sawa.
Mimi nampongeza sana mzee kwa kuonyesha uthubutu wake wa kuweza kutoka tu chama tawala na kuhamia upinzani, mzee ni mwanademokrasia wa kweli, amepambana kwa uwezo wake wote ila mazingira yamemuwia vigumu kubaki katika msimamo wake, shinikizo lilikua ni kubwa kuweza kuhimili mikikimikiki aliokua anapitia kutokana tu na kua nje ya ngome kuu, mzee ameamua kustaafu kwa njia hio ili kuamua kuepusha shari.

Maendeleo hayana chama
 
Ngoma ikivuma saana .......

Bashe apambane na jiwe tu lkn kwa JK atajipoteza kisiasa tu

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Leo ndio nimeamini kuwa shida kubwa iliyoko ndani ya CCM ni wizi wa kimfumo.
Si ni huyu Lowasa aliye sababisha mpaka zika anzishwa mahakama za mafisadi ?
Na si ni huko huko CCM ndio walipo akina Tibaijuka wa Escrow, Change au jina jingine nyoka wa makengeza, William mwana Ngeleja , au mahakama ya mafisadi ilikuwa kwa Abinda Singh, na Rugemalira.
Ama kweli CCM sasa leo nimeamini kuwa mchawi anaye iroga Tanzania ili isipate maendeleo ni Chama cha mafisadi CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
Singh na Ruge wataachiwa kwa msamaha muda si mrefu. Bii pashenti.
 
Ccm nadhani bado wana miaka 100 ya kutawala Tanzania maana wanajua saana kucheza na wapinzani aise

Naanza kuamini kuna mpango kabambe wa kuhakikisha hakuna mbunge wa upinzani kurudi bungeni

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Itapendeza sana kwa wabunge na madiwani wote wakitoka CCM.
 
Najua huu ni mchezo wa rostam kwani huyu jamaa anajua kuzichanga vizuri membe amepoteza nguvu tayari inabidi ajipange upya na chadema kwa sasa imepoteza MTU muhimu wa mipango endelevu kwani amebakia mbowe peke yake,lisu sio MTU wa mipango,hata angekuja zito hana hizi sifa,lowasa niye mwasisibwa ccm mtandao hadi kikwete akaingia madarakani. Haya kwa heri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Richmond/Dowans ni ufisadi wa Kikwete, Lowassa na Rostam Aziz ambapo tulipigwa zaidi ya bilioni 500.

Hakuna ushahidi wa ufisadi wa lowasa lakini kuna ushahidi wa kujitwalia nyumba za serikali
 
Jiwe naona Leo atalala usingizi ,Lissu hebu lianzishe tena huko ughaibuni ili jiwe aache kulala usingizi.
 
Huwa nawahurumia sana wafia siasa na vyama, ni upumbavu mwingine wa kiwango kikubwa. Eti great thinkers wapo siasani, wanalishana matangopori ya akina Lowasa, Membe, Lissu na mzee baba.

Futseke!!!!
Huwa nawahurumia sana wafia siasa na vyama, ni upumbavu mwingine wa kiwango kikubwa. Eti great thinkers wapo siasani, wanalishana matangopori ya akina Lowasa, Membe, Lissu na mzee baba.

Futseke!!!!
Hatari sana...😀
 
Kumbuka kauli ya Chakubanga pole pole kuhusu kuongeza dirisha la usajili hadi December kwa dhana kwamba fisadi lowassa alikuwa tayari kusajili. Bila ya shaka hakukubali bei aliyopewa hivyo negotiations ziliendelea hadi hivi karibuni na bei aliyoitaka dhalimu na dikteta kakubali kuilipa bila pingamizi lolote.
Chadema wao walimnunua kwa kiasi gani?? Mapovu tuu. Kwa taarifa yako Lowassa ameona hakuna faida ya kuendelea kukaa kwenye chama mfu ukitilia maanani sheria ya vyama vya siasa imepita hivyo ulaji wa ruzuku umebanwa sasa anakaa Chadema kwa lipi? Na 2020 kuna uwezekano Chadema wakupata wabunge wawili ama watatu tu. Amerudi nyumbani kumenoga!!
 
Back
Top Bottom