mwana wa mtemi
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 374
- 204
Anaweza poteza uanachama mapema sanaNgoma ikivuma saana .......
Bashe apambane na jiwe tu lkn kwa JK atajipoteza kisiasa tu
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Kazi ipo kwa wale wafia siasa 😀Wimbo ulianza kwa chadema, hakuna kupinga. Kila pembe ilikuwa ni "Lowassa fisadi, Lowassa fisadi" alipokosa kuteuliwa kuwania urais wa tiketi CCM akajitoa CCM na kuhamia chadema, akapewa nafasi ya kugombea urais kwa tiketi ya chadema, ghafla chorus ya "Lowassa fisadi, Lowassa fisadi" ikawa inaimbwa na wana CCM.
Sasa karudi CCM nani ataiimba chorus hiyo?
Siasa ni mchezo mbaya sana.
Hahahaha magufuli alisema mafisadi yamekimbilia CDM, ila leo kapokea fisadi kwa bashasha kubwa kabisa!Lowassa sio fisadi, hili hata Mbowe na Lissu wanalijua.
Mkuu kuna mwanasiasa anayepigania watu zaidi ya maslahi yake!?Jamaa amekwaosea heshima watanzania waliompigania.
Ametanguliza maslahi yake bila kujali kundi la watu walioumia kwa ajili yake
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hao uliowataja kabisaaa ndo wawe first families,unaota mkuu.Itakuwa faida kwa upinzani 100%....
Nilishapiga kelele sana hapa kuhusu Lowassa na Sumaye....
Hawa ni watu walioshiriki kila aina ya ufisadi ndani ya ccm .
Angalia sasa tamaa ya mbowe sijui na Dr slaa uso wake atauweka wapi?....
Niwakati wa Lissu kapewa chama na kumshawishi Bi Fatuma karume wagombee 2020 tuchukue nchi mapema...
Fukuzeni na Sumaye kwenye chama ungana na Zitto awe waziri mkuu baada ya uchaguzi hapo tutawapigania kwa hali na mali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haa,Kumbe hata Hama ya Kingu ilikua kuzima kifo Cha Mzee wa "APEDOMIA"!Msiba wa Ruge?
Hapana. Hakuna sababu ya msingi kwa Lowassa "ku-divert attention ya Watanzania kutoka kwenye msiba wa kitaifa wa Ruge."
Hata hisia kuwa "kuna mkono wa mtu kwenye kifo cha Ruge" hazijapata umaarufu kiasi cha kupelekea Lowassa akurupushwe leo ili "azime" suala hilo.
Kuwatenga waliomtosa Lowassa?
Uwepo wa Rostam Aziz katika tukio unaweza kuwa ishara ya uhusika wake katika uamuzi wa Lowassa kurejea CCM. Na uhusika wake unaweza kumaanisha kuwa "mapacha wawili kati ya watatu" wa MTANDAO wa JK (JK mwenyewe, Lowassa na Rostam) sasa wapo kwa Jiwe.
And where does that leave JK? Well, he was the major force behind kutoswa Lowassa. With him were Mkapa na Mwinyi. Sio siri kuwa wote watatu have fallen out of favour with Jiwe.
Nadhani katika hili labda tuache muda uongee.
October surprise?
Katika siasa za uchaguzi huko Marekani, "October surprise" ni tukio la makusudi linalolenga ku-influence matokeo ya uchaguzi.
Ninaazima political jargon hiyo kumaanisha kuwa huenda tukio hilo la leo linalenga ku-preempt tukio jingine kubwa ambalo "mtu flani" anatarajia linaweza "kupozwa" na ujio wa Lowassa huko CCM pindi tukio hilo likitokea.
Ugumu wa kuongelea tukio hili kama ule uliojitokeza katika kujadili uwezekano wa Lowassa kurejea CCM. Kila baadhi yetu tulipofungua mdomo sio tu kubashiri kuwa Lowassa angerudi CCM bali pia kumtuhumu kuwa huenda anakihujumu chama hicho, tuliishia kutukanwa
Kwahiyo to be on the safer side, si vema kuongelea kitu ambacho huenda kikatafsiriwa kuwa ill wish if not sedition. But something is indeed cooking.
Nafsi inakataa sio kuamini kuwa kweli Lowassa karudi CCM (lilikuwa suala la when na sio if) bali kuamini kuwa kurudi kwake CCM LEO ni kwa vile "leo ni siku kama nyingine."
Time will tell.
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo ndio nimeamini kuwa shida kubwa iliyoko ndani ya CCM ni wizi wa kimfumo.
Si ni huyu Lowasa aliye sababisha mpaka zika anzishwa mahakama za mafisadi ?
Na si ni huko huko CCM ndio walipo akina Tibaijuka wa Escrow, Change au jina jingine nyoka wa makengeza, William mwana Ngeleja , au mahakama ya mafisadi ilikuwa kwa Abinda Singh, na Rugemalira.
Ama kweli CCM sasa leo nimeamini kuwa mchawi anaye iroga Tanzania ili isipate maendeleo ni Chama cha mafisadi CCM
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah Tz unafiki unatusumbua sana😁😁😁CCM imezoa mzoga wake.
Chadema imebaki huru baada ya fisadi kuu kuondoka sasa ni wakati wa chama kurudi kwenye misingi yake.
Tuliosoma geography na history form two na three nahisi mnakumbuka vizuri kuwa.....Wamasai wana kawaida ya kuhamahama..
Chadema wao walimnunua kwa kiasi gani?? Mapovu tuu. Kwa taarifa yako Lowassa ameona hakuna faida ya kuendelea kukaa kwenye chama mfu ukitilia maanani sheria ya vyama vya siasa imepita hivyo ulaji wa ruzuku umebanwa sasa anakaa Chadema kwa lipi? Na 2020 kuna uwezekano Chadema wakupata wabunge wawili ama watatu tu. Amerudi nyumbani kumenoga!!