theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
Aisee sitaki kuamini...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mamba karudi mtoni mkuu baada ya misuko suko mingi ya jua kali!Jizi limerudi nyumbani kwake
Kama kweli wakudadavua na wenzake vipara vipya wataeka wapi sura zao???, mleta mada chanzo tafadhari cha habari yako
Kwa hiyo jina likikatwa tena atarudi CDM?Na utaona next time anagombea kwa ticket ya chama,na atapata hiyo ndio siasa bhana
Frustrations hizi unalo tafuta panadol unywewanasiasa wote wanafanana,sio ccm wala chadema.Hutakiwi kumwamini mwanasiasa.
Hahaha, kamuhofia Lisu
Hahaha, kamuhofia Lisu
Mkuu bila dira mpya Chadema baada ya zile blunders za 2015 nitabaki katikati tu! Ukisoma ushabiki wa vijana wa Chadema wasiofikiri unaweza kulia sababu ni dhahiri unaona shimo wanaloelekea!!Kwahiyo mkuu utarudi CDM au bado utabaki katikat. ..
Hapo ndipo mzee alipo haribu na itakua kashauriwa na hyo kichwa maji pole pole ata lile gazeti la ccm litaona aibu kuweka habarii hii kwa mandishi makubwa ukurasa wa mbele.Ama kweli mzee kabanwa kila sehemu,mme wa mwanae leo mwaka wa ngapi sijui yupo Lumande. But why wanatangaza ndani ya kipindi cha msiba wa Taifa?
Hapana hii nikuonyeshe uchaguzi ujao atasimama yeyeKapiga hesabu kaona miaka 6 si mingi, inshalah itafika na atamrithi jiwe.
Mungu ana maajabu yaake, tujipe mudaAmekosea sana,angesubiri mpaka 2020 kuelekea uchaguzi awavuruge kwanza ndo asepe.Chickens coming home to roost never did make me sad,