Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

1551454122192.png
 
Hivi vyama vya upinzani kusimama kazi ipo kwanza havijiamini kama vinaweza, watu makini ndani ya vyama vyao ambao wangeweza kuwasaidia wanadhaliwa na kushutumiana hivyo kuondoka,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amemaliza kazi yake CHADEMA. Anarudi kwao. Ambao hawakuliona hilo ni wajinga tu...
 
Chadema tuliwaambia huyu ni mchumia tumbo
Amerudi sisiem jina lipendekezwe
Wapinzani ni wachache sana
Mbowe ujifunze kitu hii
Lowassa wengi tulimpinga hamkusikia bombshell hiloooo
 
"This is quite a game, politics. There are no permanent enemies, and no permanent friends, only permanent interests". William Clay
 
Mnafiki. Uchu wa madaraka tu ulikuwa unamsumbua hakuwa mpinzani wa kweli. Alichokuwa anataka urais tu. Alivyotoswa CCM alifikiri ataupata kupitia upinzani. Useless man!
 
Ama kweli mzee kabanwa kila sehemu,mme wa mwanae leo mwaka wa ngapi sijui yupo Lumande. But why wanatangaza ndani ya kipindi cha msiba wa Taifa?
Hapo ndipo mzee alipo haribu na itakua kashauriwa na hyo kichwa maji pole pole ata lile gazeti la ccm litaona aibu kuweka habarii hii kwa mandishi makubwa ukurasa wa mbele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom