nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Wakati wa kuitwa fisadi na vijana wa serengeti umerudi tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe nafasi ya Uenyekiti anaifanyia biashara , inabidi tumng'oeLeo nitakesha kwenye bar kwa furaha ya Lowassa kuondoka cdm. Alaaniwe Mbowe na genge lake kupokea hela ya Lowassa na kumpa nafasi ya kugombea urais.
Wengi hamjui magumu anayopitia huyo mzee, Hiyo ndio njia pekee ya kumuokowa mkwe wake Sioi Sumari, na kumpa faraja binti yake Pamela na mke wake pia, kuna wakati binadamu unakosa option zaidi ya family first, bahati nzuri mimi naelewa kifamilia anapitia wakati ganiDr Slaa alikuwa very right.Kwa kweli Mbowe anastahili lawama kubwa sana.
Wengi walisharudi.
Lowasa kaathiri sana siasa za Chadema haswa kuhusu ufisadi, ukumbuke hii miaka 3 CDM imemtetea sana Lowasa na Sumaye kuwa siyo Mafisadi ili hali CCM ilikuwa ikijinadi kuwa mafisadi wamekimbilia CDM,mapambano bado yanaendelea comrades
lowasa hakua na influence chadema alkua tuu kama picha
off course niliimisi chadema ya harakati maana jiwe bila harakati halita toka
membe akija chadema naomba asigombee, chama kirudi kwa wenye chama
naona kama vita ya 2015 bado mbichi....mzee kahisi tishio la jasusi kaona na yeye aunde kambi yake yenye nguvu...hiyo ndio siasa...sasa...kumbuka rostam na apson ni team lowassa na wameshafika kwa mzee....nadhani hapa kuna makubaliano...