Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa nikijiuliza Lowassa yuko Chadema ila kimuonekano kama yupo CCM yaani yupo kimya vyama vya upinzani visiludie tena kosa kama hili walitumia nguvu kubwa kumsafisha.
😅😅😅Tulia mama hiyo ndio Siasashoga nimestuka..najiskia kuumwa kbs!yaa bira maumiv ya uchungu
huko kwa ccm watajipanga wenyewe,, minazungumzia,, maono ya lipumba kwa ed low,, hawezi mtu akapewa nafasi ya kugombea urais kwa ukawa kwa kuhonga hela,,Walaaaaa
Mzee hata hujui analysis yoyote about opposition...
Maalim na Lowassa hawana intersection wewe!
Lowassa amerudi humo,ile mamba haijafa,itamgeuza Jiwe kitoweo,subirini!
Kama kweli wakudadavua na wenzake vipara vipya wataeka wapi sura zao???, mleta mada chanzo tafadhari cha habari yako
Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa Amerejea Rasmi CCM Leo.
Amepokelewa Lumumba Makao Makuu Madogo Ya Chama Cha Mapinduzi Na Katibu Mkuu Dr Bashiru Ally.
Aidha, katika mapokezi hayo walikuwepo Rostam Aziz, Mzee Phillip Mangula, Waziri Mkuu Majaliwa Kassim n.k
View attachment 1035375View attachment 1035381
Unaweza soma pia:
Edward Lowassa na Frederick Sumaye mbioni kurejea CCM - JamiiForums
Edward Lowassa: Wanaodhani nitarudi CCM wanapiga porojo na kuota ndoto - JamiiForums
Lowassa hana namna zaidi ya kuipigia magoti CCM, Mkwewe Sioi Sumari mpaka sasa yupo lockup - JamiiForums
Sumaye anasubiri nini yeye kuondoka wakati walienda wote cdmFisadi mwingine huyo yeye na Sumaye yalikuwa makosa makubwa sana kuwakaribisha Chadema mafisadi hawa wawili. Hawana impact yoyote ile ndani ya Chadema.
Ipo official.
.Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa Amerejea Rasmi CCM Leo. Amepokelewa Lumumba Makao Makuu Madogo Ya Chama Cha Mapinduzi Na Katibu Mkuu Dr Bashiru Ally. Aidha, katika mapokezi hayo walikuwepo Rostam Aziz, Mzee Phillip Mangula, Waziri Mkuu Majaliwa Kassim n.k