GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ningekuwa ' Neurologist ' halafu nataka Kufanya ' Utafiti ' wa Ubongo wa Mtu Taahira / Mwendawazimu ningeanza na Wewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Never, CDM haikuwa na mvuto kama alipoingia Lowasa, mvuto ulikuwa mkubwa!Kwenye vijiji Lowasa alikuwa hajajiunga na CDM. Unapingana na wanaosema pengine bila Lowasa CDM ingepata wabunge na madiwani wengi kuliko iliopata 2015?
Ameshapotea dogo sijui now yupo wapiMsishangae kurudi W kwa Jerry Sla kwenye siasa za CCM. Jerry ni product ya The King Maker
Zidumuuuu!!! fikra za Kizinjanthropus za Mwenyekiti.Zidumu fikra za mwenyekiti wa chama
Jiwe nafasi yake iko kwenye line ndani ya CCM come 2020.
Hawa CCM makinikia aliojaribu kuwaleta hawajamsaidia.
Lowassa was his last resort.
Alishatoka weweKuna pointi unaweza ukaandika ikawa na maana, lakini ni bora ingekaa ubongoni kwa mtu tu, ulipenda aitishe press conference akiwa mahabusu? Sheria zinaruhusu hilo?
Thubutu!! Atausikia kwenye bomba tu!! Siasa ni uchafu!! MwanasiHasa hata ukimwita tumbili si neno, hata ukamwambia amejiny*a si tatizo, akiona upande wako kuna dalili za mkono kwenda kinywani, bado atakukimbilia, uongo????Na utaona next time anagombea kwa ticket ya chama,na atapata hiyo ndio siasa bhana
Chukueni Oil chafu yenu!Lowassa alipojiunga Chadema tuliona mbwembwe za Mwenyekiti chadema Freeman Mbowe akiitisha press conference akiongea kwa complex superiority na mbwembwe nyingi kutamgaza ujio wa Lowassa Chadema.Mbona Mbowe hutoi tamko kulikoni? Unaumwa au?
Kama zinavyodumu za Mangi. Akisema hakuna wa kupinga. Hata alipomleta mgeni wenu wote mlishangilia. Kasoro Dr. Naye ili awe salama basi ilimbidi akimbie nchi..Zidumuuuu!!! fikra za Kizinjanthropus za Mwenyekiti.
Aitishe press kuwa Chadema haikununuliwa?Lowassa alipojiunga Chadema tuliona mbwembwe za Mwenyekiti chadema Freeman Mbowe akiitisha press conference akiongea kwa complex superiority na mbwembwe nyingi kutamgaza ujio wa Lowassa Chadema.Mbona Mbowe hutoi tamko kulikoni? Unaumwa au?
Nahisi kuna kiongozi top atajiuzulu au atatumbuliwa very soon. The die is cast!Msiba wa Ruge?
Hapana. Hakuna sababu ya msingi kwa Lowassa "ku-divert attention ya Watanzania kutoka kwenye msiba wa kitaifa wa Ruge."
Hata hisia kuwa "kuna mkono wa mtu kwenye kifo cha Ruge" hazijapata umaarufu kiasi cha kupelekea Lowassa akurupushwe leo ili "azime" suala hilo.
Kuwatenga waliomtosa Lowassa?
Uwepo wa Rostam Aziz katika tukio unaweza kuwa ishara ya uhusika wake katika uamuzi wa Lowassa kurejea CCM. Na uhusika wake unaweza kumaanisha kuwa "mapacha wawili kati ya watatu" wa MTANDAO wa JK (JK mwenyewe, Lowassa na Rostam) sasa wapo kwa Jiwe.
And where does that leave JK? Well, he was the major force behind kutoswa Lowassa. With him were Mkapa na Mwinyi. Sio siri kuwa wote watatu have fallen out of favour with Jiwe.
Nadhani katika hili labda tuache muda uongee.
October surprise?
Katika siasa za uchaguzi huko Marekani, "October surprise" ni tukio la makusudi linalolenga ku-influence matokeo ya uchaguzi.
Ninaazima political jargon hiyo kumaanisha kuwa huenda tukio hilo la leo linalenga ku-preempt tukio jingine kubwa ambalo "mtu flani" anatarajia linaweza "kupozwa" na ujio wa Lowassa huko CCM pindi tukio hilo likitokea.
Ugumu wa kuongelea tukio hili kama ule uliojitokeza katika kujadili uwezekano wa Lowassa kurejea CCM. Kila baadhi yetu tulipofungua mdomo sio tu kubashiri kuwa Lowassa angerudi CCM bali pia kumtuhumu kuwa huenda anakihujumu chama hicho, tuliishia kutukanwa
Kwahiyo to be on the safer side, si vema kuongelea kitu ambacho huenda kikatafsiriwa kuwa ill wish if not sedition. But something is indeed cooking.
Nafsi inakataa sio kuamini kuwa kweli Lowassa karudi CCM (lilikuwa suala la when na sio if) bali kuamini kuwa kurudi kwake CCM LEO ni kwa vile "leo ni siku kama nyingine."
Time will tell.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ndo umeandika nini, hao si ndo wamempata tena Lowassa wao ama?siasa ni mchezo wa hovyo sanaa nakumbuka wale waliokuwa wakiimba siku ile dodoma ktk ule ukumbi wao walikuwa wakiimba '' ninaa imaniii na Lowasaaaa nina imaniiii na Lowasaaaaa '' ss sijui itakuwaje