mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
True..Huyu Bashite ni bure tu hana maana yoyote. Hata yeye ni kinara wa ufisadi vile vile, hata vyeti tu hana. Hakuna msafi huko. Bogus.
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
True..Huyu Bashite ni bure tu hana maana yoyote. Hata yeye ni kinara wa ufisadi vile vile, hata vyeti tu hana. Hakuna msafi huko. Bogus.
Huwezi, mtandaoni utakutana na kitu kinaitwa cyber crime. Kitaaa utakutana na kitu "Mchochezi".kundi dogo la wahuni na mafisadi ni lazima nipambane nao kitaa na hata mitandaoni hadi kieleweke.
Hayo aliongea tangu Lowassa akiwa ccm, hakuwa mnafiki kama nyie mnaosubiri awaache ndio muanze kumshambuliasasa yuko nae, ngoja tusubiri kauli yake. lakini kwa vile ccm hawana mshipa wa aibu atampongeza
Wewe unazijua biashara za rostam?? ni zipi hasa za kumfanya umuite billionea, biashara za udalali aliokuw anafanya ndio zinakufanya umuone hodari, nadhani ujinga wenu na ulemavu wa akili ndio tatizo..biashara gani rostam alianzisha akasimamia ikastawi???taja... watanzania malimbukeni kusifia sifia sababu ya ujuha, rostam hana biashara yoyote anasimamia yeye mwenyewe ya kutumia aidha maarifa ya elimu au ujuzi wowote, ni udalali tu...alitumia mwanya wa tamaa za kijinga za ccm iliyopita na ubinafsi wa viongozi wachache na uvivu wa kufikiri wa baadhi ya watanzania kuiba haraka haraka kwa kuanzisha makampuni hewa ili achote pesa wagawane..hiyo ndiyo kazi ya kumsifia mtu kweli, kama si upumbavu ni nini...Kule wala haitaji huo ujanja ujanja maana tayari ni billionaire. Business safi kabisa.
Lakini South Africa kuna akina Gupta. Dili kama Bongo
Mimi nasema Loawassa ni fisadi.Kwakuwa karudi CCM Lowassa sio fisadi tena,Lumumba hoyeeeee
Tshs hoyeeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama anajiamini,mwambieni akubali tume huru na sio kumpa hizi sifa za kijingaIwe hamahama au kuzolota kwa uchumi vyvyte sijui korosho and whatever hakuna wakumshinda Magu... go go go rais wa watu kipenzi cha wanyonge
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kumsifia nape na baadae kutumia bastola.Hayo aliongea tangu Lowassa akiwa ccm, hakuwa mnafiki kama nyie mnaosubiri awaache ndio muanze kumshambulia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa zwazwa weye unalikubali chaka lirudi tena ccm! Mpuuzi mkubwa wewe sasa iweje chaka likubaliwe tena ndani ya ccm? Na kwa taarifa yako Slaa naye aliingizwa chaka taahira wewe kama hujui mambo usikurupuke pimbi were uliza kwanza.
Wenyewe walikuwa na msemo waoMkuu, wewe mwambie aendelee kuzungusha mikono na kupiga deki kule Mwanza, viazi hao makamanda akili zimejaa makamasi..
Rostam ni mmoja wa matajiri kumi wa Tanzania. Kapataje hizo hela ni topic for another day.Wewe unazijua biashara za rostam?? ni zipi hasa za kumfanya umuite billionea, biashara za udalali aliokuw anafanya ndio zinakufanya umuone hodari, nadhani ujinga wenu na ulemavu wa akili ndio tatizo..biashara gani rostam alianzisha akasimamia ikastawi???taja... watanzania malimbukeni kusifia sifia sababu ya ujuha, rostam hana biashara yoyote anasimamia yeye mwenyewe ya kutumia aidha maarifa ya elimu au ujuzi wowote, ni udalali tu...alitumia mwanya wa tamaa za kijinga za ccm iliyopita na ubinafsi wa viongozi wachache na uvivu wa kufikiri wa baadhi ya watanzania kuiba haraka haraka kwa kuanzisha makampuni hewa ili achote pesa wagawane..hiyo ndiyo kazi ya kumsifia mtu kweli, kama si upumbavu ni nini...
That was short sighted mission. You achieved short term benefits and I promice you are going to pay it heavily! Chochote walichopata kwa sababu ya ujio wa Lowassa wanakwend kukitema chote uchaguzi ujao!CDM had a purpose and the mission was accomplished with many legislators, diwanis, village chairs,and the like.......
Mnamrudisha ili afanye nini? hana mvuto tena kama 2015! Bila mizengwe, bila kumnyima ushindi wake, angelikuwa rais. Lowasa alikuwa anakubalika sana. Haikuwa hasara kumpokea!
Ni juha tu anaweza sifia utajiri haramu wa aina hiyo, hata kama anamiliki 90% ya share za vodacom...hata kichaa anaweza okota almasi akauza akawa bilionea kwa siku moja, swali ataweza kumaintain ubilionea huo?? ndio maana nakuuliza ni wapi rostam ameanzisha biashara mpya kama mabilionea wengine wanavyofanya kina dangote..utajiri wa staili ya rostam wala haudumu, huyo si bilionea, labda kama unaona fahari kutamka neno bilionea, lakin hana hadhi hiyo, tatizo lenu rubbish za magazeti sijui forbes nyinyi mnameza tu..akili inajaza takataka tu hata jambo dogo la ukubwa wa sindano wewe unaona ni kama chuma cha tani 5 kabisa.Rostam ni mmoja wa matajiri kumi wa Tanzania. Kapataje hizo hela ni topic for another day.
Share zake za Vodacom wauza US$ ngapi? Huo mfano mmoja tu. Na hii mara ya pili anauza.
Kampuni ya Caspian iliyokuwa inachimbish a katika migodi ya Barrick/Acacia, Mwadui nk usichukulie hiyo kazi ni rahisi kuifanya maana inahitaji vifaa vizito vingiWewe unazijua biashara za rostam?? ni zipi hasa za kumfanya umuite billionea, biashara za udalali aliokuw anafanya ndio zinakufanya umuone hodari, nadhani ujinga wenu na ulemavu wa akili ndio tatizo..biashara gani rostam alianzisha akasimamia ikastawi???taja... watanzania malimbukeni kusifia sifia sababu ya ujuha, rostam hana biashara yoyote anasimamia yeye mwenyewe ya kutumia aidha maarifa ya elimu au ujuzi wowote, ni udalali tu...alitumia mwanya wa tamaa za kijinga za ccm iliyopita na ubinafsi wa viongozi wachache na uvivu wa kufikiri wa baadhi ya watanzania kuiba haraka haraka kwa kuanzisha makampuni hewa ili achote pesa wagawane..hiyo ndiyo kazi ya kumsifia mtu kweli, kama si upumbavu ni nini...