Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

kundi dogo la wahuni na mafisadi ni lazima nipambane nao kitaa na hata mitandaoni hadi kieleweke.
Huwezi, mtandaoni utakutana na kitu kinaitwa cyber crime. Kitaaa utakutana na kitu "Mchochezi".
 
Ukipata jibu sahihi la swali hii, basi utagundua ni kwanini CCM itaendelea kupoteza uungwaji mkono licha ya hii hamahama ya kila siku na utajua ni kwanini pamoja na kujifariji na hii hamahama, kamwe hawawezi kujiamini na kukubali Tume Huru ya Uchaguzi.

Ukweli ni kwamba,siasa za hama hama kamwe haziwezi kuwa mtaji kwa chama chohote tawala ambacho kinavurunda kwa kiasi kikubwa kama CCM hii iliyoshindwa kukidhi matarjio ya wananchi na sasa inaatafuta kukubalika kwa kutegemea hama hama ya mwanasiasa mmoja mmoja kutoka upinzani.

Hama hama hii ingeweza kuwa na maana kwa CCM iwapo wangeweza kukidhi matarajio ya wananchi wa kawaida lakini sio katika mazingira haya ya uchumi kuharibika,ukosefu wa ajira,mabiashara kufungwa,watu kutekwa na wengine kuwawa,dola kupanda,kuharibu zao la korosho,kukata asilimia 15 kwenye mishahara kulipia deni la bodi ya mikopo,mazao ya wakulima kukosa soko,kushindwa kuongeza mishahara ya watumishi na kulipa stahiki zao zingine,n.k.

Hakika huyu bwana sio tu ni mtupu katika maswala ya uchumi,diplomasia,n.k bali pia ni mtupu hata katika siasa.
 
Kule wala haitaji huo ujanja ujanja maana tayari ni billionaire. Business safi kabisa.
Lakini South Africa kuna akina Gupta. Dili kama Bongo
Wewe unazijua biashara za rostam?? ni zipi hasa za kumfanya umuite billionea, biashara za udalali aliokuw anafanya ndio zinakufanya umuone hodari, nadhani ujinga wenu na ulemavu wa akili ndio tatizo..biashara gani rostam alianzisha akasimamia ikastawi???taja... watanzania malimbukeni kusifia sifia sababu ya ujuha, rostam hana biashara yoyote anasimamia yeye mwenyewe ya kutumia aidha maarifa ya elimu au ujuzi wowote, ni udalali tu...alitumia mwanya wa tamaa za kijinga za ccm iliyopita na ubinafsi wa viongozi wachache na uvivu wa kufikiri wa baadhi ya watanzania kuiba haraka haraka kwa kuanzisha makampuni hewa ili achote pesa wagawane..hiyo ndiyo kazi ya kumsifia mtu kweli, kama si upumbavu ni nini...
 
Sasa zwazwa weye unalikubali chaka lirudi tena ccm! Mpuuzi mkubwa wewe sasa iweje chaka likubaliwe tena ndani ya ccm? Na kwa taarifa yako Slaa naye aliingizwa chaka taahira wewe kama hujui mambo usikurupuke pimbi were uliza kwanza.

Huwa sina kawaida ya kujibizana mitandaoni na vipele kama ww .bado sumaye na wenzake
 
Wewe unazijua biashara za rostam?? ni zipi hasa za kumfanya umuite billionea, biashara za udalali aliokuw anafanya ndio zinakufanya umuone hodari, nadhani ujinga wenu na ulemavu wa akili ndio tatizo..biashara gani rostam alianzisha akasimamia ikastawi???taja... watanzania malimbukeni kusifia sifia sababu ya ujuha, rostam hana biashara yoyote anasimamia yeye mwenyewe ya kutumia aidha maarifa ya elimu au ujuzi wowote, ni udalali tu...alitumia mwanya wa tamaa za kijinga za ccm iliyopita na ubinafsi wa viongozi wachache na uvivu wa kufikiri wa baadhi ya watanzania kuiba haraka haraka kwa kuanzisha makampuni hewa ili achote pesa wagawane..hiyo ndiyo kazi ya kumsifia mtu kweli, kama si upumbavu ni nini...
Rostam ni mmoja wa matajiri kumi wa Tanzania. Kapataje hizo hela ni topic for another day.
Share zake za Vodacom wauza US$ ngapi? Huo mfano mmoja tu. Na hii mara ya pili anauza.
 
CDM had a purpose and the mission was accomplished with many legislators, diwanis, village chairs,and the like.......
Mnamrudisha ili afanye nini? hana mvuto tena kama 2015! Bila mizengwe, bila kumnyima ushindi wake, angelikuwa rais. Lowasa alikuwa anakubalika sana. Haikuwa hasara kumpokea!
That was short sighted mission. You achieved short term benefits and I promice you are going to pay it heavily! Chochote walichopata kwa sababu ya ujio wa Lowassa wanakwend kukitema chote uchaguzi ujao!
 
Hata likisimamishwa jiwe au tofali, litashinda tu maana litapata msaada wa karibu kutoka geshi la polishi na tumwe ya uchwaguzi.
 
Lissu kamilisha mikakati nnje ya nchi ,halafu njoo ndani kumalizia ,uzuri jiwe hana support kimataifa na ndani hana na kwenye chama chake hana ni wa kuangusha kama ubua wa mshindi .Pomoja na kutegemea dola , dola yenyewe imegawanyika hakubaliki ndio maana siri zake nyingi zinavuja .Twende na lissu 2020 .
 
Rostam ni mmoja wa matajiri kumi wa Tanzania. Kapataje hizo hela ni topic for another day.
Share zake za Vodacom wauza US$ ngapi? Huo mfano mmoja tu. Na hii mara ya pili anauza.
Ni juha tu anaweza sifia utajiri haramu wa aina hiyo, hata kama anamiliki 90% ya share za vodacom...hata kichaa anaweza okota almasi akauza akawa bilionea kwa siku moja, swali ataweza kumaintain ubilionea huo?? ndio maana nakuuliza ni wapi rostam ameanzisha biashara mpya kama mabilionea wengine wanavyofanya kina dangote..utajiri wa staili ya rostam wala haudumu, huyo si bilionea, labda kama unaona fahari kutamka neno bilionea, lakin hana hadhi hiyo, tatizo lenu rubbish za magazeti sijui forbes nyinyi mnameza tu..akili inajaza takataka tu hata jambo dogo la ukubwa wa sindano wewe unaona ni kama chuma cha tani 5 kabisa.
 
Wewe unazijua biashara za rostam?? ni zipi hasa za kumfanya umuite billionea, biashara za udalali aliokuw anafanya ndio zinakufanya umuone hodari, nadhani ujinga wenu na ulemavu wa akili ndio tatizo..biashara gani rostam alianzisha akasimamia ikastawi???taja... watanzania malimbukeni kusifia sifia sababu ya ujuha, rostam hana biashara yoyote anasimamia yeye mwenyewe ya kutumia aidha maarifa ya elimu au ujuzi wowote, ni udalali tu...alitumia mwanya wa tamaa za kijinga za ccm iliyopita na ubinafsi wa viongozi wachache na uvivu wa kufikiri wa baadhi ya watanzania kuiba haraka haraka kwa kuanzisha makampuni hewa ili achote pesa wagawane..hiyo ndiyo kazi ya kumsifia mtu kweli, kama si upumbavu ni nini...
Kampuni ya Caspian iliyokuwa inachimbish a katika migodi ya Barrick/Acacia, Mwadui nk usichukulie hiyo kazi ni rahisi kuifanya maana inahitaji vifaa vizito vingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom