Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Msije mkashangaa Edward Lowassa akachukua fomu ya kugombea Urais kwa tiketi ya CCM mwaka 2020...

Hawa kina Jakaya na Mkapa ni wa kuwaangalia tu....

Kuna timbwili timbwili la hatari CCM linakuja....

Mnaodhani Lowassa amefuata usalama wa mafao yake CCM mnaweza mkawa mnajidanganya sana....

Ile game ya "the best final top 3" ya mwaka 2015 (Magufuli, Membe & Lowassa) inapata dakika 90 nyingine..... 2nd leg, 2020... !!!

Mwenyekiti atafanya nini? Tusubiri tuone...!!

If you can't beat them, join them then fight your blood fight from within the inner circle...!!
 
Mm binafsi najisikia furaha sana kama viongozi wetu waandamizi wa nchi wanajenga mahusiano mema kwa mustakabala wa taifa letu.

Pale ambapo kunatokea migawanyiko ndipo mwovu shetani naye anaingia bila kupiga hodi na kusambaratisha kile kilichojengwa kw a muda mrefu.

Hongereni viongozi wetu kwa kuiona kasoro hiyo na kuirekebisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia mkwewe kaachiwa leo jumapili, looh kwanza mahakama hatuna, kwani walishikwa ransom akiwa lowassa, pole tanzania
 
E

Hakuwa akikubalika Ila alikuwa na mvuto tu wa kisiasa? How? Ukishakuwa a mvuto wa kisiasa si ndo kukubalika huko? Nisaidie hapa.
Hakuna asiejua CV ya lowasa ktk utendj wake hasa alipokuw PM na kashfa ya ufisad pia uchu wa madark uliopitiliza. Chadema hadi ccm walithibitisha hilo kila upande kw wakat wake. Hakuwa mtakatifu hata kidog na kila mtu alifaham hivyo ila upepo tu wa siasa ulimuelekea. Magufuli hakuw na mvuto kisiasa na hakuna aliyejua chama kingempitisha kama mgombea wake ila yy alibebwa na kukubalika kwake kiutendaj akiwa wazir

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna asiejua CV ya lowasa ktk utendj wake hasa alipokuw PM na kashfa ya ufisad pia uchu wa madark uliopitiliza. Chadema hadi ccm walithibitisha hilo kila upande kw wakat wake. Hakuwa mtakatifu hata kidog na kila mtu alifaham hivyo ila upepo tu wa siasa ulimuelekea. Magufuli hakuw na mvuto kisiasa na hakuna aliyejua chama kingempitisha kama mgombea wake ila yy alibebwa na kukubalika kwake kiutendaj akiwa wazir

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa maoni yangu Lowasa na tuhuma zake za ufisadi angekuwa raisi, kibiashara Tz ingepiga hatua. Huyu mtu ni mzuri kwenye makubaliano na ushawishi. Imagine mtu wa aina yake alivyopokelewa na Mbowe na Raisi/katibu mkuu kwenye vyama. Nikikumbuka TL na msemo wake huwezi mpuuza tembo aliye kati kati ya uwanja ndo nazidi kuamini huyu mtu hajatumika nchini kwa kiwango kinachohitajika.
 
Kule wala haitaji huo ujanja ujanja maana tayari ni billionaire. Business safi kabisa.
Lakini South Africa kuna akina Gupta. Dili kama Bongo
Hata kama zipo lakini it's in a very limited scale.Si unamuona mzee wa vimwana alipoishia.
 
Hii ni enzi nyingine,aishi kwa adabu na afanye biashara halali.Akileta za kuleta akae mkao wa kula.Kwanza si alisema anahamisha biashara zake,kasahau nini Tanzania?


Tumeona picha kapokelewa ikulu yupo na JPM na viongozi wakuu wa CCM. Hatujasikia wa kuhoji hayo,sasa mwenzetu wewe ni nani?
 
Baba yangu na mama yangu wamefuata nini kweny mjadala baina yangu na wewe.? Halafu Mimi sijakuita uje uchangie kweny Uzi wangu si uanzishe wako ukatukanane na wajinga wenzio. Anyway nashukuru kwa matusi yako kwangu na kwa wazaz wangu. Sitakujibu tena baada ya hapa.
Nyau babaako na mamaako.
 
Hakuna mwanasiasa mkweli Africa hii wote njaa tu. Wanatuumiza vichwa pasi na sababu za msingi. Hawana faida zaidi ya hasara wanazotupa.
Hawana uchungu na sisi wapiga kura wao wala nchi wanayoishi wao ni bora yao yamewanyookea ndo raha yao
get well soon tl
 
Yaaani leo nacheka sana cdm wote wameamua kumuachia muumba hahahahahaha yaani kila nna msoma naona kaandika kimajonzi hahahhaa lowasa nyoko sana
Makamanda wamechanganywa kabisa. Rais wa mioyo yao kawaacha kwenye mataa
 
Baba alikuwa anahuzunika na majonzi ya Pamela

Nasikia Pamela alimwambia Baba nimekuwa mjane ebu watendee haki wajukuu,Mzee akachukua maamuzi magumu akarejea chama bila mkia haaaa haaaa I hope this is not true.
 
Mzee Lowasa nimebaini ni strategist pia tactical master katika siasa..ndio maana ata wakati anagombea Urais hakuwai kukejeli mtu wala chama cha siasa alisema Elimu Elimu Elimu akijua kabisa watu wahitajika kujitambua pia alishabainisha "Bomu la watu kukosa Ajira" miaka fulani..nadhani Mh.Dkt Joseph PM atamshirikisha katika mikakati ya kutengeneza fursa kwa vijana.
Wale watu wenye tabia ya kutukana matusi mazito wanasiasa wanapaswa kujitambua..
 
Back
Top Bottom